Noting New.Klopp akiongea na wanahabari juzi baada ya game ya Westbrom alisema Thiago ana nafasi kubwa ya kutokuwepo kwenye kikosi.
Vipi kuna mpya zozote?
Kloppβs comments mean Thiago is unlikely to feature in Wednesdayβs Premier League trip to Newcastle, but could return for the game at Southampton on Monday or the FA Cup tie with Aston Villa on January 8.
His return would be a timely boost for the Reds after suffering a number of injury problems so far this campaign.
Habari ndio hio ndugu tuwe na subira wanaogopa sana relapse ndio maana wanakwenda nae taratibu...
VVD ameanza mazoezi mepesi upo uwezekano akawa kikosi mapema mwezi wa Aprili...
YNWA
[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani Liverpool akiongozaga ligi tu corona inaanza kushamiri magundu mengine haya
NEWS
Liverpool region moved into tier 3 so 2,000 fans no longer allowed into #LFC home matches at Anfield.
Jota will be back earliest around 16th Feb 2021 in time to face RB UCL fixture that the 1st competitive match he can play......Personally ningetamani VVD asirudi msimu huu, ili msimu ujao arudi akiwa very fresh.
Kuhusu Thiago, Klopp sounds like the guy is not fit as he is telling us. Klopp is like buying time or playing with fans' minds.
I hope he is okay anyway.
How is my boy Jota, any news?
Jota will be back earliest around 16th Feb 2021 in time to face RB UCL fixture that the 1st competitive match he can play......
YNWA
Unajua mpaka huwa najiuliza mbona sisi huku tujiendea tu....daah au ndio mungu kaamua ukimwi kwetu wao Corona.It was just a matter of time, it's messy everywhere.
Unajua mpaka huwa najiuliza mbona sisi huku tujiendea tu....daah au ndio mungu kaamua ukimwi kwetu wao Corona.
He is a super catch man...Noma, I miss that kid man.
Inasemekana covid new strain deadly than the earlier one....Hahaha, yaani wanateseka kweli na hii kitu.
Ole anasikia eti EPL isimame anapinga kabisa si unakumbuka na sisi yalitukuta haya walivyosema EPL ifutwe msimu uliopita huku msimamo kwetu ulikua umependeza haha lol ndio Ole sasa ile feel good ndio wapo nayo sasa na anaona hakuna namna EPL isonge mbele haha...Hahaha, yaani wanateseka kweli na hii kitu.
Ole anasikia eti EPL isimame anapinga kabisa si unakumbuka na sisi yalitukuta haya walivyosema EPL ifutwe msimu uliopita huku msimamo kwetu ulikua umependeza haha lol ndio Ole sasa ile feel good ndio wapo nayo sasa na anaona hakuna namna EPL isonge mbele haha...
YNWA
Sijui kama Man U watakubali!League ifutwe tuu
Hawa Man Utd wamempiga jana wolves wanahisi epl imeshakuwa yaoSijui kama Man U watakubali!
Unajua tangu aodoke babu Fergie hawa Stretford boys hawajawai kua optimistic kama walivyo sasa na matokeo uwanjani yanakwenda powa kwao japo jambo moja muhimu sana wanalisahau star player wao Bruno akinasa Covid haha wataadamana kwenda Brunel BuildingNimeona hii ya Ole, hata Gary Neville anakataa hii.
Mimi naona lolote watakalo amua tu, maana tuko Kati kwa Kati.