Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jones, Salah na Gini hawastahili lawama wanazopewa kwa Matokeo ya Jana.

Binadamu tunatofautiana namna ya jinsi ya kutambua au kutafakari vitu.

Tunaweza wote tukawa tunaangalia kitu kimoja lakini tukaibuka na maoni tofauti.

Jones amechomesha jana, lakini chomesha yake haikuwa direct, kwa sababu choma yake ilizaa kona, timu kama timu tukishindwa kuikaba kona tukafungwa. Jones is still young, mistakes are part and parcel to learning.

Kabla ya hapo hatukutengeneza nafasi za magoli pamoja na kwamba mpira tulikuwa nao sisi kwa kipindi kirefu.

My biggest worry ni kwa front three yote, some days back nilikuwa na ugomvi na Bobby, Jota kamchangamsha changamsha tukaona amerudi kidogo, Jota kaumia sasa, hapo naona kama tumerudi nyuma Tena.
 
Tatizo lako unadhani huwa hujawahi kukosea na hutakiwi kukosolewa.

Sasa kama tusome halafu tusijibu umemuandikia nani?
Umetaja wengi wakosoaji ila umejisahau wewe pia nasi tunakukumbusha.

Unajikutaga kama vile huu Uzi ni wako
Takataka

Narudia tena Soma ili ufahamu, Usisome ili ujibu.

Mdogo wangu bora nikusaidie kwa hili Screenshot huenda ukajifunza kitu.

 
Tuna washambuliaji 3 hawawezi kulingana ufungaji tukitamni hivi itatokea utegaji mkubwa sana utakao tunyima ushindi.
Mfano jana angalia eneo alocheza sana Mane kipindi cha kwanza ni kati namtazama kama vile mtu anaesema tubanane apapa kama kukosa tukose ila na mimi ni funge labda kama nimemtazama vibaya ila kama washambuliaji wata anza kukabana na mido zetu zilivyo tutakwama naamini matokeo mabovu kwenye hizi team za chini sababu ni kutegeana nimewaza tu
 

Sidhani kama mimi nimetofautiana mtazamo wa kpira na wewe ila nahisi tumetofautiana uwasilishaji wa maoni.

Sitaki niwatupie lawama hao as a scapegoats tu na sio kwamba hawakufanya makosa in general.

Jana makosa yalikuwa kwa Front 3 yote kwani haijafanya serious attack yoyote coz hata lile goli la MANE walikuwa wanazurura tu mpaka uliona kuwa ni mpira mrefu uliopigwa kwa ufundi mkubwa na Mchezaji ninayemkubali kupita maelezo Jo Matip, sio Fair kumtupia Zigo Salah as Salah kama wengine walivyo mpoint.

Ukiangalia kwenye Mido Hendo na Gini ndani ya Dakika 90 basi sijaona cha mana walichokifanya zaidi ya kurandaranda tu, so, kumpoint Jones peke yake kwasababu tu kosa lake la kimpira lilizaa goli hapo Dogo tunamuonea.

Hivyo ni Timu nzima ukitoa Mabeki wote 4 na kipa basi imecheza Vibaya na ndiyomana lawama zinabidi ziende kwa wote na si kwa Jones, Salah na Gini.
 

Unachosema ni sahihi lakini nasita kuwalaumu kwani huenda kuwa Wanacheza vile kwa maelekezo ya Klopp.

Mfano mdogo GINI kutokupanda juu hata kama Timu inashambulia yale ni maelekezo ya Klopp.
 
Tatizo lako unadhani huwa hujawahi kukosea na hutakiwi kukosolewa.

Sasa kama tusome halafu tusijibu umemuandikia nani?
Umetaja wengi wakosoaji ila umejisahau wewe pia nasi tunakukumbusha.

Unajikutaga kama vile huu Uzi ni wako
Takataka

Yani ningeliona hili neno "Takataka" tokea awali basi nisingelikujibu katika Post zangu za awali kwani umenivunjia heshima kwa kiasi kikubwa coz mimi sipo katika Kundi la kutupiana maneno ya kijinga.

Hii ndiyo itakuwa Post yangu ya mwisho kukuquote.

Kila la kheri
 

Game nyingi timu yetu imekuwa haifanyi vizuri kwenye kiungo, tunajikuta tunategemea mipira ya kutoka kwa mabeki ndiyo iende moja kwa moja kwa strikers. Viungo tulionao kazi yao ni kujaza statistics ya complete passes kwa back and square passes.

Jones kipindi cha nyuma alikuwa anajitahidi sana kufanya progressive passes, lakini kadri muda unavyoenda anaanza kuwaiga kaka zake, akopokea mpira anapiga 180 au 360 turn kabla ya kupiga pasi.

Sasa hivi mimi bifu langu na Bobby limepungua kidoogo, ila Jota akipona nahisi nitaibuka.

Mane, Salah na Bobby wote wako kama wameridhika na mafanikio yao, au wanafanya statistics padding ili kutafuta kandarasi nzuri, na hii ya statistics padding huwa inaua team work sana maana kila mmoja anajiangalia yeye.

Pia umri wao umeenda, wanahitaji damu changa kuwachangamsha kama Jota anachowafanyia, ila waache kumpiga misumari.
 
Liverpool player ratings vs West Brom

Alisson - 7

Might have set up a deckchair on the goal-line in the first half given how quiet his evening was going. Then required to make a massive one-on-one save to deny Karlan Grant in the second half, but was well beaten by Ajayi's header.

Trent Alexander-Arnold - 6

Solid defensively but not the right-back's most effective performance going forward, his final ball unusually off although he got into some decent positions.

Joel Matip - 7

Found Mane in space for the goal with a lovely lofted pass and solid whenever West Brom tried to counter. Then suffered yet another muscle injury

Fabinho - 6

On hand with some vital headed clearances at set pieces and key interceptions but then beaten in the air by Semi Ajayi for West Brom to equalise.

Andy Robertson - 7

Liverpool's best attacking outlet in the first half and rather miraculous he didn't come away with an assist. Several superb crosses across goal that went without reward. Quieter in the second half however.

Jordan Henderson - 6

Gave Liverpool tempo in possession in the first half, managing 85 passes to West Brom's 46 as an entire team. Probably needed to give Liverpool greater control in the second period though as West Brom threatened more consistently on the break.

Gini Wijnaldum - 6

Given licence to get into the final third more often than usual in the first half and seemed to enjoy himself. Had to be more defensive minded in the second half but worked hard off the ball and won his duels.

Curtis Jones - 5

Always tried to be positive on the ball but not quite as authoritative as he was in his last start against Tottenham. Made the crucial unforced error that led to the corner for West Brom's equalising goal

Mohamed Salah - 6

Less lively than Mane first half but improved after the break. Will feel he should have done better with a header from a Wijnaldum cross and nothing quite came off for him though he constantly tried and tried.

Roberto Firmino - 6

Dropped into the space between the West Brom midfield and defence to seek gaps and linked up well, almost setting up Salah to make it 2-0 early in the second half. Denied the winning goal by Sam Johnstone late on.

Sadio Mane - 7

Sublime positioning, touch and finish to make it 1-0 Liverpool on 12 minutes but unable to take advantage of other crossed opportunities. Not as involved second half.

Substitutes
Rhys Williams (on for Matip min 65) - 6

Outpaced by Grant when Alisson denied the striker but otherwise fine.

Alex Oxlade-Chamberlain (on for Jones min 83) - 7

Almost set up the winning goal but Johnstone denied Firmino's header. Volleyed on shot over the bar and gave Liverpool some impetus going forward.

Divock Origi (on for Firmino min 90) - N/A

Barely saw the ball.

The Express.

YNWA
 
Kwahiyo wewe ulivyonijibu ni nini kama sio dharau kwamba wengine hatuna akili?
Ndio wewe ni takataka kama vile unavyodharau wengine.
Nami nakudharau hivyo hivyo
Niliku quote kwa heshima ukaja kidharau dharau kama kawaida yako.

Hakuna sehemu kwamba eti quote yako ina faida kwangu .
Kwanza sikusema uongo ni kweli.

Tukaushiane kiroho safi tu kwani shida nini.
Takataka narudia tenaaa!
 
Happy birthday bosi.

Kama ukisoma vizuri, utagundua kwamba umerudia alichokiandika, amekubali kwamba alikuwa anamponda Hendo, na kadri Hendo alivyobadilika (kidogo) na yeye kaacha kumponda.

Jaribu kusoma upya alichokiandika.
Ndio nimeona nami nilikuwa namkumbusha tu kama alivyotukumbusha yeye hapo..

Alitakiwa kukubali tu kama alivyoandika
Lakini alivyojibu ni kama ishara ya dharau kwamba nimesoma ili nielewe sio kumjibu
Kwamba wengine hatufai kusema au kuandika kitu juu yake.
Kwani mbona tungeweza kuongea mambo mengine ya kawaida?

Alichokipata ni sawa na wala siwezi kum quote tena kwani nani alikuwa anataka kujibizana nae?

Kila mtu afanye yake tu jamaa ana dharau sana au sijui kisa I'd yangu?
 
Misimu iliyopita ilikuwa Origi hata umuingize dakika 5 za mwisho Impact yake ilikuwa Mpinzani maji anaita mma.
Lakini sasahivi kufanya Sub ukamuingiza Origi Basi unatamani angetoka mtu na asiingie yeyote. Jamaa kachuja hafai hata kuugusa mpira basi anatimiza dakika 5 hajaugusa.
Bobby ana misumari ya kiafrika Yani.
 
Pazuri January 2021 anaodoka huyu akasake kwingine maisha...

Its been good for him so far having that cult hero figure at the club but at his age he need more game time elsewhere..

Firmino, Jota, Takumi, Salah, Mane, Shaqir, Ox means yeye ni chaguo la 7 la kocha...

Naona klabu inasema bei yake ni £20m... All the best kwake...

He gave his all..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…