Yaani wewe inabidi tukukamate kwenye nyuzi za watu kama hivi.Sahau kuhusu droo. Leo Mou anashusha kipigo tu.
Baada ya usajili January, kuelekea duru ya pili kila mtu atakuwa kwenye nafasi yake. Mimi mshindani wangu msimu huu ni huyu Looserpool. Wewe ukimaliza top six fanya sherehe kabisa.Yaani wewe inabidi tukukamate kwenye nyuzi za watu kama hivi.
Kuna siku nilikwambia hili vumbi likitulia kila mtu atakaa anapokaa siku zote. Kufungwa na Antwerp na draw na Ludogorates ilitakiwa kukuthibitishie.
Arsenal ikisajili itaweza fight zaidi ya challenge uliyoweka.Baada ya usajili January, kuelekea duru ya pili kila mtu atakuwa kwenye nafasi yake. Mimi mshindani wangu msimu huu ni huyu Looserpool. Wewe ukimaliza top six fanya sherehe kabisa.
Newcastle united
Southampton
Hapa tuna ambulia point 2 tu.
Newcastle united
Southampton
Hapa tuna ambulia point 2 tu.
Kama spurs draw
Liverpool draw
Leo unasema City ita draw
Braza mpira haupo hivo
Sisi everton tunamkalisha, hana jipya kwetu, anakula gori za kutosha leo
Muda utafika
Nasema hapa kila mara. Hii project ya Spurs iko underrated na mwishoni mwa msimu watu watabaki midomo wazi. Levy ni football genius. Anaitransform timu bila Arab/Asian money. Hakuna timu epl imeweza hilo kwenye zama hizi. Ni ngumu kuzungumzia epl ila Spurs itachukua vikombe.Arsenal ikisajili itaweza fight zaidi ya challenge uliyoweka.
Chelsea ina mmiliki mmwaga hela same kwa Madrid yet waliona Mourinho siyo option nzuri kwa mpira wanaoutaka.
Tottenham ina ambitions ndogo so probably he is a right choice.
Bro ni mapema sana kujiona unapojiona. Arsenal ina project yake ambayo haimruhusu kuota uclNasema hapa kila mara. Hii project ya Spurs iko underrated na mwishoni mwa msimu watu watabaki midomo wazi. Levy ni football genius. Anaitransform timu bila Arab/Asian money. Hakuna timu epl imeweza hilo kwenye zama hizi. Ni ngumu kuzungumzia epl ila Spurs itachukua vikombe.
Chelsea wanaweza kuwa na ambitions ila sidhani kama wanaye kocha wa kuwafikisha waendako kwa kuzingatia kiwango cha ushindani uliopo.
Nyinyi msimu huu mtamaliza top six endapo mtaendelea kumpa imani huyu kocha wenu.
Game tano za mwisho na everton hajawahi kumfunga City hata mojaHii mechi ushindi wenu ni droo hamtoboi kwa babu Anceloti
City hana uwezo wa kushinda big matchGame tano za mwisho na everton hajawahi kumfunga City hata moja
Everton kila msimu tunampiga nje ndani
Leo point 3 mbele yetu, tunamsubili Chelsea na yeye tumkule, Hakuna namna
Hatuna uwezo huo kwa sasa Mkuu .Point 6 tunachukuwa hapa
Sure thing broda! It aint a game easy na kwao piaKitu kizuri kuhusu mechi ya Jana ni kuwa
Sam Alradice ameongeza timu ambazo ni spoilers..
Sasa hata Chelsea na Tottenham wakienda kukutana na Big sam kazi wanayo
Hata hivo hii sio Big match ,kwetu ni match ya kawaidaCity hana uwezo wa kushinda big match
Jose Mourinho : " I think if Tottenham wins the premier league the pain to all TV Pundit will be greater than the pandemic. They always criticize my style of play. But I have more than 25 Trophies in my life and they have only TV cameras "
Jose for you.
Naona mambo yetu sio mabaya sanaKwema ndugu..
YNWA
Jose ni nyoko sana huyu mzee nahisi aliwahi kuishi kwa wazaramoJose Mourinho : " I think if Tottenham wins the premier league the pain to all TV Pundit will be greater than the pandemic. They always criticize my style of play. But I have more than 25 Trophies in my life and they have only TV cameras "
Jose for you.