Na wasiwasi Mkubwa ni kwamba bado mzunguko hujakamilika na majeruhi wetu wa mara kwa mara tunakuwa pangua pangua ..Historically Deseba hua mwezi bora kwetu EPL na January na February hua miezi mimbaya sana kwetu hivyo hii sare ya leo sio ya kuichukulia powa kabisa ukitazama tunakutana na washindani wetu wa hili taji ndani ya mechi kumi zijazo...
Upo uwezekano bingwa wa msimu huu akalichukua kombe EPL akiwa na pointi 75 mpaka 85 aisee maana kila kukicha matokeo yanazidi kushangaza wengi...
YNWA
City sio wa kumwombea akae pale juu ndugu...Na wasiwasi Mkubwa ni kwamba bado mzunguko hujakamilika na majeruhi wetu wa mara kwa mara tunakuwa pangua pangua ..
Ngoja Man city atusogelee pale juu tutiane presha vizuri maana ndo tunapoelekea huko .
Mkuu hii line up ya jana kwa mazingira yetu ya sasa ni BORA kabisa...My fellow the captain Jordan Henderson made damn good crosses today , and also I see no circumstances for our Zimbabwe descent boy Trent to get the blame anyhow,,,I will continue to assert that who had the way to us having this horrible result is Jurgen Klopp with his joke of a lineup
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ox ubora wake ni kushambulia...Dogo mtamlaumu tu na kumuonea
Kama Ox alikuwa fit Gini wa nini mule ndani ? Kiburi cha kocha na mapenzi yake
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Lineup hii hapa though with Bobby in inplace of Takumi no problemMkuu hii line up ya jana kwa mazingira yetu ya sasa ni BORA kabisa...
Je wewe ulipenda nani aanze..
YNWA
Nilitazama Real Madrid mechi zao msimu uliopita na moja ya nguzo kuu ya Zidane ilikua ni kubadili mfumo wakati mambo yakiwa yanasimama kimatokeo...Sio ugumu wa EPL the issue is useless and out of ego lineups
Mimi leo hii kwa Klopp aavyomtumia Gini kwa kweli Henderson na viungo wengi tu ni bora kuliko Gini
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Salah anawaza kufunga tuSo far hatuna beki stable mpaka VVD atakaporudi.Hata tukifanya usajili wa beki January bado nae atakuwa anahitaji muda kwenda na intensity ya epl.Hata beki mwenye profile kama Silva alistrugle kwanza mwanzoni.Hakuna mtu reliable wa kupartner na fabinho.Huyo Williams ambae ni Klopp favourite hawezi kudefend,bado anahitaji muda na gem zake zilitakiwa kuwa FA na carabao huko ajenge kwanza uzoefu.Ilikuwa tupigwe goli la pili jana bila Becker kufika na kumsaidia dogo Williams,alishapoteana.Simrate huyu dogo kifupi.
At least huwa namwelewa Nat Phil lakini bahati mbaya Klopp kamweka nyuma ya Williams!!Kwahiyo kwa msimu huu wote tutastruggle Sana na hii backline.Ni Kwasababu hiyo siiweki Liverpool kwenye ubingwa msimu huu.Ushakuwa ngumu aisee.Tutafute mtu established wa kuja kupartner na VVD msimu ujao.Hata huyo Gomes nae kabla ya kuumia alikuwa uchochoro tu.Ni aina ya beki ambae muda wote anakucost.
Bado kule mbele kuna tatizo ambalo linakua siku hadi siku.Ukiondoa Firmino,waliobaki wanagombania kufunga.Hawachezi kwa ushirikiano,Kila mmoja anataka kufunga yeye.Kuna muda dakika za mwisho jana Salah anaopt kudribble akiingia kwenye box bila kujali mbele yake kuna mabeki na wakaichukua kirahisi tu,nafasi ikawa wasted kirahisi pia.Alikuwa anaweza kufanya kitu kingine kujenga shambulio la uhakika zaidi.
Midfield na mabeki wetu wa pembeni(chance creators) ambacho walikuwa wanakifanya mostly ni kupiga tu mikrosi ya curving ambayo kwa asilimia kubwa huwa ni mipira ya kipa.Wakaendelea hivyohivyo hata baada ya kugundua hazina mafanikio.Watu wakishaweka msitu na wewe ukaendekea kutuma curves huwezi kufunga ukizingatia wachezaji wazuri kwenye vichwa(VVD,matip) hawapo uwanjani!Bado kufanya mashambulizi kupitia katikati pale pembeni kunapokuwa kugumu ni changamoto nzito.Wachezaji wazuri kwenye role hiyo ni marafiki wakubwa wa injuries!
Sure Man imekaa powa.....Lineup hii hapa though with Bobby in inplace of Takumi no problem
View attachment 1661089
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Chamberlain successfully tackles much and much more than Gini , I think considering our injuries and players out there was no way possibly he couldn't be a starter in the lineup yesterday, but our clueless Gaffer always and as always with his ego aaaaah that is what he reaped yesterdayOx ubora wake ni kushambulia...
Dogo ni all round MF...
He is still a kid he will make mistakes here and there that acceptable....
YNWA
Kwa haya matokeo yanayopatikana EPL kweli msimu huu haina mwenyewe...You nailed it
Hili kombe sio letu kama naona vile, inakuwa kama kwa hao i.e Man Utd and the rest
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu hapo Mane mtoe kabisaNilipojulishwa kwamba Jota ameumia na atakaa nje muda mrefu kiasi, niliiona hii hatari.
Strikers wetu hawana changamoto, wameshashinda makombe makubwa, inatosha kwao.
Makosa ya kocha ,unampaje Salah dakika zote mechi ya jana ?Salah anawaza kufunga tu
It is good Ila awe anaangalia na maeneo
Kuna muda kinakua kijinga Sana aisee
Mkuu hapo Mane mtoe kabisa
Mane anajituma bwana maana hata asipofunga kazi yake siku zote huwa inaonekana hata iweje
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mane kwa kweli hata asipofunga kazi yake huwa lazima inaonekana , labda bahati usemeOutput ya Mane imepungua sana ukilinganisha na Mane wa misimu miwili iliyopita, ile njaa aliyokuwa nayo hata yeye si kama ya sasa hivi.
Man City atusogelee mara ngapi ??!! Yupo nae tumemzidi pointi tatu tuNa wasiwasi Mkubwa ni kwamba bado mzunguko hujakamilika na majeruhi wetu wa mara kwa mara tunakuwa pangua pangua ..
Ngoja Man city atusogelee pale juu tutiane presha vizuri maana ndo tunapoelekea huko .
Tusubiri gameKama spurs draw
Liverpool draw
Leo unasema City ita draw
Braza mpira haupo hivo
Sisi everton tunamkalisha, hana jipya kwetu, anakula gori za kutosha leo
Muda utafika