Daah acha tu Kuna bangi walichanganyiwa kwenye maziwa labdaWho cares about 80%plus,possession if the end result ain't 3 points......
Ninachokiona hii timu inahitaji mchezaji sampuli ya Coutinho mwenye udhubutu wa kujaribu mashuti nje ya 18...
Mechi zote tulizo draw Klopp anakua anajua fika atakutana na kupaki treni kipindi cha kwanza na kipindi cha pili tunapigwa kaunta...meaning hawa ni kupigwa kipindi cha kwanza mapema wapagawe wafunguke...
Klosi za TAA na Hendo leo zilikua hovyo kabisa...
YNWA
Umeangalia game nyingine, u can't be seriousGame ya Fulham si ndo mliitafuta sare mpaka mkapata penati dk za mwisho,ile game mlikimbizwa sana na watoto
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Uchawi uchawi tu.Naaam..[emoji23][emoji23][emoji23],adui muombee njaa
Hii ligi ya msimu huu at the moment ni kuviziana viziana tu
Mkuu tazama mechi kumi zajazo EPL..Daah acha tu Kuna bangi walichanganyiwa kwenye maziwa labda
Kiukweli sidhani kama Klop kawekeza huko ni naona kawekeza UEFA na PrimiaMwaka huu natamani hata na la FA aisee.
Shots 17.
On target 2.
Historically Deseba hua mwezi bora kwetu EPL na January na February hua miezi mimbaya sana kwetu hivyo hii sare ya leo sio ya kuichukulia powa kabisa ukitazama tunakutana na washindani wetu wa hili taji ndani ya mechi kumi zijazo...Tusije kuijutia hii game mbeleni..Kama game ya pili dhidi Manure ile sare msimu wa 18/19 .
All in all it is football..mapambano yanaendelea amini kuna la kujifunza.
#YNWA.
Ki ukweli Manchester United, Manchester City au Chelsea wakishindwa kulichukua kombe hili kipindi hiki tunapata matokeo ya hivi basi nao wajitazame upya...Kama tumeshindwa kuwafunga Relegators Brighton, Fulham na Albion but tumewafunga Chelsea, Arsenal, Spurs na Leicester means tumesharudia Small Team Mentality yetu ya 2016 - 2018 kuwafunga wakubwa na kustruggle kwa Relegators.
Now we are completely Robin Hood.
Get well Jota....Means our attackers wanashuti useless shots
All in all Manchester City is the team to beat....Tottenham akishinda leo ataongeza pressure pale juu.
Msimu huu hakuna timu yenye uhakika wa kushinda game 5 mfululizo.