Overconfidence imezidi kipimo .Dogo alizidikujiamini akawa anachelewesha mpira kijinga sana,hata hilo goli Baada yakupiga mpira mbele anarudisha nyumba.
Yaani kazingua balaa,siku nyingine aweanawekwa bench anaweza akajifunza kitu.
King Ngwaba jana alituombea draw..well,leo mimi nimemuomba Big Sam na score line kabisa..[emoji122][emoji122][emoji122]well done WestbromWhats Poppin' Big Sam?..Give me a favour..1-1 draw itakuwa siyo mbaya
Mkuu naona tumekuwa na weekend mbaya... Vidraw vya kipuuz kwel kwelMwaka huu natamani hata na la FA aisee.
Mzee wa PUNYETO umeshafika tayari.Kuku Kama kuku
Mnaingia na matokeo yenu uwanjan
Sijui walitegemea muujiza...Dah tumezingua kizembe
Niambie kiongozi[emoji44][emoji44][emoji44]
Hizi ndio gemu za kujiweka pazuri pale juu sio kutafuta suluhu......Game ya leo imeniuma sana
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mzee wa PUNYETO umeshafika tayari.
Kamata mwizi manTumeshafungwa 1
Jones katuuuza