Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Jones is one for the future huyu hana noma wala nini...Lakini iwapo Thiago atakuwa Mzima na Keita atakuwa Mzima basi Mwenye Uhakika wa kucheza kwenye Mido kwa 100% Fabinho peke yake.
Thiago, Keita, Hendo, Jones, OX wote watacompete namba.
True have been watching closely Manchester United even when they not on song unaona kabisa vijana wanajitahidi... They are now reclaiming that lost identity under Mourinho... He want them to play the United way and man they are coming along gradually...Utd wana kikosi kizuri sana..
They can challenge kama OGS will play his cards right.
kama Utd wata-hold on kwa OGS kwa muda mrefu kidogo, atawapa trophies.
ni slow-paced coach, but ana-assemble team nzuri sana (taratibu).
Kwa hiyo Gerard ni mwalimu safi au ni hiyo ligi mbovu?Rangers wana balaa msimu huu...
YNWA
Shaqili anapigwa misumli sio bure jamaa akicheza mexhi tatu mdululuzo anatia shaka namba za watu.Jones is one for the future huyu hana noma wala nini...
At his age he knows miaka miwili 2 atakua yupo pazuri so kwa sasa he can enjoy the minutes as they come...
No wonder Klopp was aiming EPL warudishe sub 5 per game ili hawa vijana wote angalau wapate some minutes...
Management ya Thiago should be top class... Uzuri class is class just like we watch Shaqir not playing 15 games in a season but when he do gets the minutes when fit his contribution inakua immense...
Ox, Shaqir and Keita should be okay playing second fiddle to Gini, Thiago, Hendo, maana wao kuumia nje nje damn hope they can shake off that scary trend..
If Fabby shift back to his preferred role the hapo sioni Gini akichomoka...
Thiago should be given 60 minutes zinamtosha sana huyu.. EPL kwa viatu ndio penyewe...
YNWA
🙏🙏Its a cool happy Xmas man...
We are top of the table...
Thanks man and merry xmas too...
YNWA
Ooooh !Kwa hiyo Gerard ni mwalimu safi au ni hiyo ligi mbovu?
Brendan nae alikua huko bingwa mpaka anaondoka
Kaka Leicester usi wa under estimate Sana ...coz wanajua wanacheza na tough na very determined opponent hivyo lazima wacheze vizuri.....though man u hawezi kubaki top 3 ....kuna team za kukaa top 3 mzee...kushinda man u goli sita sio kigezo cha kumfunga Leicester kirahisi rahisi...kumbuka Leicester mpira wa kasi wanaweza vilevile.Leo Manure nampa asilimia 85% za kushinda game yake dhidi ya Lesta kutokana na rekodi yake nzuri [emoji817]% ya kushinda ugenini kwenye EPL.
But iwapo atatoa sare tu na sisi kesho tukashinda basi itakuwa vizuri sana.
Top 3 ni kina nani watabaki?Kaka Leicester usi wa under estimate Sana ...coz wanajua wanacheza na tough na very determined opponent hivyo lazima wacheze vizuri.....though man u hawezi kubaki top 3 ....kuna team za kukaa top 3 mzee...kushinda man u goli sita sio kigezo cha kumfunga Leicester kirahisi rahisi...kumbuka Leicester mpira wa kasi wanaweza vilevile.
Leo tunamtoboa gori tano bila huruma
Dogo ushamaliza form 4 lkn au badoLeo tunamtoboa gori tano bila huruma
City on fire
Kijana mimi naweza kukuajiri
Unashabikiaje Man City ya 2011Kijana mimi naweza kukuajiri
Ninakiwanda cha kutengeneza misumari
Nimaajiri zaidi ya vijana 1000
Tusichukuliane kirahisi rahisi huku kwenye keyboard ya jf
Kama walimu wote waliopita ndani ya miaka 8 hivi hawakushinda ligi SPl ina maana Steve akishinda atakua mwalimu safi... Mara ya mwisho Rangers kushinda SPL ni msimu wa 2010 2011...Kwa hiyo Gerard ni mwalimu safi au ni hiyo ligi mbovu?
Brendan nae alikua huko bingwa mpaka anaondoka
Hahaha sio Mkuu dogo toka alikotoka alikua na ishu za injuries za hivi...Shaqili anapigwa misumli sio bure jamaa akicheza mexhi tatu mdululuzo anatia shaka namba za watu.
Jamaa kila mechi alopangwa amefanya vyema sanaaa
Kuna watu wanamsifia Chambalin kuliko Shaqil.jamaa anapambania team kama Mane ila nso hivyotena.
Kama ni misumali Namlaani anae mpiga apate tim itakayo mlipa vizuri ahame