Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

On Alaba get him those wages no matter what
 
Lakini iwapo Thiago atakuwa Mzima na Keita atakuwa Mzima basi Mwenye Uhakika wa kucheza kwenye Mido kwa 100% Fabinho peke yake.

Thiago, Keita, Hendo, Jones, OX wote watacompete namba.
Klopp na Club nyingi huwa wana utaratibu wa kuwapa starter wenye mishahara mikubwa which means Thiago ambae ana mshahara zaidi ya £180,000 kwa wiki ni starter mbele ya Keita na Jones
 
Man Utd akishinda hizo mechi zote tatu kabla ya kukutana nasi kwa kweli itakuwa shida
 
I think he'll fit us like a glue.

He's only 22, and itakuwa vizuri sana kama aki-grow na sisi taratibu.

itakuwa ni good signing kama tukiamua ku-follow up interest yetu.

Backline inaweza kuwa sorted for years as anaweza cheza kama LB & DM pia..
 
John Stones is not a good "defender", but ni very good ball player & passer, ni kama peak David Luiz au Sakho, they're not good defenders (per se), but ni good football players, they can play football and pass the ball kwa ubora zaidi, BUT, Matip ni very good defender, ball player and a good passer but tatizo ni kuwa he's made like a biscuit..


Keita/Thiago/Curtis/Gini, ni possession based players, so sishangazwi na ubora wao katika kucheza short/long & progressive passes, Thiago being the master of line-breaking passes.
 
I'd sign kati ya Alaba, Militao & Botman

Wont mind Kabak.
 
Uhakika wa Gini kusepa ni Mkubwa that's why Jones anapewa more minutes.
Sasa iwapo atasepa Mido yetu itakuwa:-

Jones - Fabi - Hendo

Au

Keita - Fabi - Hendo


Note: Hapo ni baada ya VVD kupona
Curtis amepata minutes nyingi sana this season kwasababu ya injury crisis tuliyonayo na suala la Fabinho ku-move kwenye CB area.

BUT, you're forgeting Thiago, ndiye mchezaji ambaye atatupa dimension mpya kwenye round ya pili ya LEAGUE na kwenye UCL.
 
Tuachane na huyu kwanza, hivi Ngwaba hawa Man Utd unawaelewa kweli!

Huku mtaani nina jamaa zangu naona wananijambisha jambisha na hii timu yao, naona kama wana dalili za kusumbua msimu huu.

Game yetu tutawafunga?
Utd wana kikosi kizuri sana..


They can challenge kama OGS will play his cards right.

kama Utd wata-hold on kwa OGS kwa muda mrefu kidogo, atawapa trophies.

ni slow-paced coach, but ana-assemble team nzuri sana (taratibu).
 
I think he'll fit us like a glue.

He's only 22, and itakuwa vizuri sana kama aki-grow na sisi taratibu.

itakuwa ni good signing kama tukiamua ku-follow up interest yetu.

Backline inaweza kuwa sorted for years as anaweza cheza kama LB & DM pia..
Considering almost all the rumoured targets are around below 25yrs am sure Klopp is alignmening any new comers for his next gen squad having won almost with the current one and ageing he won't wait and fall like Shankly last season era...


Those Brazilian dudes seems to thrive at Anfield perhaps kops are as crazy as fans in thier native home...

If Edwards can pull this one from Real Madrid either on loan or buying its will be a game changer... Though am sure Real Madrid will be trending very carefully after seeing how Sergio Reguilon has performed at Spurs...

Nevertheless he will be quite a catch for us...

Dont be surprised if Real Madrid demand Mane or Salah plus they give some chums for this kid or they give Eder and Isco plus some chums and Mane go thr other way maana financially they are damn strained...

If FSG manage to sell some shares to the moneyball dude they Klopp should be afforded cash to rebuild gradually and this covid times is the best to do business since alot of teams are struggling even us thus the prices have come down a bit...

YNWA
 
On Alaba get him those wages no matter what
Alaba Mr Utility Man hahaha...

Thiago should whisper for him to choose us maana he is very high in demand...

Most likely Manchester City and Manchester United will be front runners..

But then Klopp effects do some wonders in convincing this boys to come and enjoy the fatherly hugs even when we losing...

YNWA
 
I'd sign kati ya Alaba, Militao & Botman

Wont mind Kabak.
Lille wana hali mbaya am positive with extended pay even at £25 payable in 3 years or so watasema let's do business...

Alaba am sure huyu its will be about his wages if we can offer whats Thiago is earning he might consider us...

Milatao woow huyu ndio ugenius wa Edwards unahitajika..

Any of the above and we will be sorted...

YNWA
 
Lakini iwapo Thiago atakuwa Mzima na Keita atakuwa Mzima basi Mwenye Uhakika wa kucheza kwenye Mido kwa 100% Fabinho peke yake.

Thiago, Keita, Hendo, Jones, OX wote watacompete namba.
Mkuu

CAPTAIN JORDAN HENDERSON Hata asajiliwe KDB Liverpool HENDERSON nafasi yake ni Permanent haiguswi na mchezaji yoyote Liverpool.

Thiago anarudi na kama tukisajili CB January na Matip akiwa fit 100% Fabinho atarudi kwenye position yake.

Midfielder itakuwa

THIAGO + FABINHO + HENDERSON

Hao wengine watakuwa Second choice na mechi za FA CUP tu.
 

Umri wake umesogea sogea, sasa hivi na yeye ataanza kuwa anapumzishwa baadhi ya mechi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…