Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Salah in mkuu ...vipi kwenye hizo game 5 Firmino akionyesha makali msimamo wako utakuwaje?
Na ndo hivyo hivyo kuna game ambazo utamwona ana pwaya ubaya wa salah akikutana na beki visiki huwa anapata shida sana, Salah man to man hawezi kabisa huwa anaishia kupoteza mipira.Ukisema Salah anapoteza chance nyingi ujue ni kwa sababu anakaa kwenye position nzur mara nyingi na ndo anayecreate chances nyingi kuliko wachezaji wote pale mbele!!!!
So kwa sababu gameplan ya juz imefanya kazi kwa leceister isitufanye tuanze kutema mbovu kwa mwamedi coz ana umuhimu mkubwa sanaa
Kuna kauli kwamba, Salah asipokuwepo timu inacheza vizuri sana.
What does that mean? Kwamba Salah ni mzigo kwenye timu na ndiye anaturudisha nyuma?
Shida yote ni kwamba juzi tulimfunga Leicester kirahisi ndiyo sababu kuu ya Salah kukataliwa.
But pia tumeshinda na Cleansheet juu bila ya VVD tuliyekung'utwa 7 akiwa yeye ndiye Beki lakini sijaona Comment inayosema bila ya VVD ndiyo tunapata Cleansheet.
Ongezea: Tumeshinda kirahisi bila Henderson.
Huta amini Jota atavyo mfunika labda akili zimrudi acheze kitim na si hivi anavyo tamani magoliAcheni utani jamani, hii tuiongee tu kama kujifurahisha lakini tusiombe itokee Salah kupata majeruhi ya kuwa nje zaidi ya miezi 2.
Pengo la Salah huwezi kuliziba kwa wachezaji tulionao, labda tufanye usajili.
Huta amini Jota atavyo mfunika labda akili zimrudi acheze kitim na si hivi anavyo tamani magoli
Hapana si mzigo ila anautegeaji flan si vile alivyokua anacheza kama mshambuliaji wa pembeniKuna kauli kwamba, Salah asipokuwepo timu inacheza vizuri sana.
What does that mean? Kwamba Salah ni mzigo kwenye timu na ndiye anaturudisha nyuma?
Mimi in kwa dakika 60 Firminho na Mane hawa watu kwangu ndo team hao wengine ndo wapishane hukoMfano tungeweka polls, ungechagua Salah out au Salah in?
Maana naona umejibu vyote viwili pale juu.
Mfano mimi binafsi msimamo wangu ni Salah in, Firmino out (ila game ya juzi inanifikirisha kidogo, nampa game 5 za EPL).
Hem kumbuka gem zote ngumu alizokosa kucheza si ya juzi tuUkisema Salah anapoteza chance nyingi ujue ni kwa sababu anakaa kwenye position nzur mara nyingi na ndo anayecreate chances nyingi kuliko wachezaji wote pale mbele!!!!
So kwa sababu gameplan ya juz imefanya kazi kwa leceister isitufanye tuanze kutema mbovu kwa mwamedi coz ana umuhimu mkubwa sanaa
Sawa kabisa4-2-3-1 hiyo 1 akae Jota
Upande wa magoli naona Jota yupo kiufungaji zaidiJota na Salah ni Watu tofauti wanaocheza namba tofauti
Sidhan km kuna mtu anasema Mo si muhimu, ila kinachosemwa n kuwa kwa sababu Klopp katengeneza fluidity, bas hata Mo asipokuwapo, lfc itashinda tu. Ni simple hivyo tuUmuhimu wa Salah upo palepale sababu anaipa matokeo.
Nnachosema si pengo
Origi amejishindwa naona ndo amejikatia tamaa kabsaa ametafuta namba kwa tabu amepewa anaharibu.Wale wanaosema Salah sio mchezaji Muhimu/Mkubwa/Bora kwa Liverpool kwasababu tu tumemfunga Leicester City bila ya yeye kuwepo hebu kwanza wajaribu kupitia haya ili tujadili kimpira.
LIVERPOOL 3 - 0 LEICESTER CITY
• Tumeshinda bila ya Salah - Salah sio muhimu
• Tumeshinda bila ya VVD - VVD sio muhimu
• Tumeshinda bila ya TAA- TAA sio muhimu
• Tumeshinda bila ya HENDO - Hendo sio muhimu
Hii tabia ya kuhukumu mchezaji based on one good result ndiyo iliyoleta utata Msimu uliopita wa Washabiki wengine kusema eti Salah auzwe abakishwe Origi kisa tu Oringi aliwaotea Barcelona.
Sasa Origi alihongwa mpaka mkataba mpya anafanya utopolo gani?
Achana nao hao Mpwa, Salah fainali ya UEFA aliumizwa na lile nyang'au la Madrid Ramos mchezo ukabadilika wakati ilikuwa tushindeKuna kauli kwamba, Salah asipokuwepo timu inacheza vizuri sana.
What does that mean? Kwamba Salah ni mzigo kwenye timu na ndiye anaturudisha nyuma?