Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Haha Mkuu upande wa Training Complex hii ni level zingine kabisaaaa.....Nope it has to be much much better than there, they have to get us a 90k spectators capacity stadium
Utopolo na chelsea damu hilo halina ubishiSi kwa sababu na wewe ni utopolo
Prison Break hiyoKwenye Avatar yako umeamua kumueka T-Bag sio?
Nyeto sana hao mademu.Wanaosema wachezaji wetu wanapata injury sababu wametumika Misimu 2 na 3 mfululizo hili nakataa kwa Big NO.
Yani nipo tayari kuanzisha Ligi kwa hili.
Kuna hizi Punda Firmino, Salah na GINI zinatumika kuliko umeme wa TANESCO mbona husikii wakipata injury za mara kwa mara ingawa wanatumika kwa asilimia 99% tokea hawajaja Liverpool mpaka wapo ndani ya Liverpool.
Mimi naamini hili linalotokea muda huu ni kawaida tu michezoni linalochangiwa na wachezaji kuwa na matatizo ya kudumu (Prone injury) kama vile MATIP, GOMEZ, THIAGO, even HENDO, pia imesababishwa na injury za bahati mbaya ambazo hazitegemei kwa mchezaji kutumika sana kwa mfano VVD, TAA, ROBBO na FABINHO.
Huwezi niambia kuwa lile Buti alilokuwa VVD kutoka kwa Pickford ni sababu yakuwa VVD katumika sana. Yani NO.
Corona sio sehemu yake Hapa.
We nae tuliaLiverpool HALISI tusiwe na wasi wasi na haya majeruhi,tuna kikosi kipana sana!With or without our key players will beat LC!
Sisi Liverpool HALISI tuendelee kuwa behind ya team kama kawaida!
Kipau ni kitu gani?We nae tulia
Tuliza kipau hcho
Hayo ni maneno yako 2 au kuna wengine pia wanasema hivo?Wachezaji wenu mayai mayai
Kina grealish wanapigwa viatu ,kila game ila wapo strong!!
Wapemba wajuana kwa vilemba. Umeza kuyambua hayo magari yanafanana na utopolo mimi nisemeje ikiwa mnatambuana wenyewe? πππ€£Utopolo na chelsea damu hilo halina ubishi
Angalia hisije ikatokea tena kww mdomo kumponza marehemuStill mshindani wetu kwenye mbio za ubingwa ni city, hao kina Eveton na Leicester ni cheche tu. Japo tuna majeruhi tutashinda game zetu kwa sababu sisi ni Liverpool.
Kidogo Mourinho na Spurs ndio naona wapo serious na wanaweza kutuongezea ushindani kwenye tittle race.
Naam unasema?