OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Yani wewe una macho ya kuona lakini huoniπππUko serious mkuu?
kwa timu gani mliyonayo hadi ujipe matumaini ya kubeba ndoo msimu huu?
hata hivyo sio mbaya kujipa matumaini....
Wenye ligi tunakuja.Sorry Everton, Kaa Pembeni Wenye Ligi Tupite.
Matatizo ya manure, Cheltako na aseno bado ni yale yale na ni makubwa sana, hizi timu wanaweza kushinda mechi hata 5 au 7 mfufululizo lakini baadae wanachezea vipigo hata vitatu vinne mfufululizo bila kujalisha wako nyumbani au ugenini, hizi timu zina matatizo makubwa sana zaidi uwazavyo weweYani wewe una macho ya kuona lakini huoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila anayekutana na Chelsea kwa sasa anakufa 4,3,5 ..una Ziyech, Werner, Mendy, Silva ..hahaha unataka nini tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea 4-1Shelfed United
Ila leo nimeumia sana Mendy kukosa Clean Sheet[emoji1781][emoji1781][emoji1781]
Unaongelea Chelsea ya msimu upi wewe takataka?? Ondoa Chelsea kwenye list ya hizo takataka..Matatizo ya manure, Cheltako na aseno bado ni yale yale na ni makubwa sana, hizi timu wanaweza kushinda mechi hata 5 au 7 mfufululizo lakini baadae wanachezea vipigo hata vitatu vinne mfufululizo bila kujalisha wako nyumbani au ugenini, hizi timu zina matatizo makubwa sana zaidi uwazavyo wewe
. Mkuu unataka kusema Chelsea ya msimu huu haijafungwa? Au unavyojilia madogo unapata jeuriUnaongelea Chelsea ya msimu upi wewe takataka?? Ondoa Chelsea kwenye list ya hizo takataka..
#CFC πππ
Tangu tumefungwa na Spurs Qarabao tena kwa penati ..hatujapoteza game yeyote ile zaid tumetoka draw game kadhaa na kushinda nyingine zote.. Mkuu unataka kusema Chelsea ya msimu huu haijafungwa? Au unavyojilia madogo unapata jeuri
πππLeo Man City tuna jambo letu..
Golini tuna shati pale Allison, Sterling ana goal za kutosha.
Beki tuna Gomez mguu mmoja bila VVD anachechemea uchochoro ule pale tuna uhakika.πππ
Kiungo Fabihno epl ishaanza kumshinda, huyu Alcantara baiskeli ya barafu mbele ndo kabisa kuna uozo ..Salah, Firmino washakuwa butu, Mane na Jota tunawakabidhi kwa Mendy mpira goli tatu liverpool moja ..tunaenda kulala π€£π€£
Leo tuko na wanangu Man city ..kama Aston alijipigia bao Saba sisi City tushindwe?
Piga mbuzi hawaaa πͺπͺπͺ
.Jifariji ila hongera naona unakinukisha balaaTangu tumefungwa na Spurs Qarabao tena kwa penati ..hatujapoteza game yeyote ile zaid tumetoka draw game kadhaa na kushinda nyingine zote.
Chelsea league kafungwa mechi ngpi kwenye league ;. Mkuu unataka kusema Chelsea ya msimu huu haijafungwa? Au unavyojilia madogo unapata jeuri
Amen na tusipofungwa mkuuLeo ndo mtajua hamjui ππππ
sawa ila kumbuka nimekugongaChelsea league kafungwa mechi ngpi kwenye league ;
Hazijafika izo mechi ulizosema wewe Chelsea wanaimprove ,timu ndogo izoizo ndo zipo nyingi kwenye league unataka uzifunge timu kubwa tu ambzo ni chche
Timu ndogo ndo za kuzifunga sana ili ukusanye point nying
Hivi wewe tulikubonda ngapi darajani?Leo ndo mtajua hamjui ππππ
Ile game mlibebwa?Hivi wewe tulikubonda ngapi darajani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo Man City tuna jambo letu..
Golini tuna shati pale Allison, Sterling ana goal za kutosha.
Beki tuna Gomez mguu mmoja bila VVD anachechemea uchochoro ule pale tuna uhakika.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiungo Fabihno epl ishaanza kumshinda, huyu Alcantara baiskeli ya barafu mbele ndo kabisa kuna uozo ..Salah, Firmino washakuwa butu, Mane na Jota tunawakabidhi kwa Mendy mpira goli tatu liverpool moja ..tunaenda kulala [emoji1787][emoji1787]
Leo tuko na wanangu Man city ..kama Aston alijipigia bao Saba sisi City tushindwe?
Piga mbuzi hawaaa [emoji123][emoji123][emoji123]
Unauliza au unasema?Ile game mlibebwa?