Ondoa Chelsea hapo wewe
 
Kuna yule defender wa Everton anaitwa Yerry Minna huyu jamaa dakika ya 65 tu huwa yupo Hoi vibaya pumzi inakata mapema sana ,Anaanza kazi ya Kubutua butua mipira mbele tu.
 
Kuna yule defender wa Everton anaitwa Yerry Minna huyu jamaa dakika ya 65 tu huwa yupo Hoi vibaya pumzi inakata mapema sana ,Anaanza kazi ya Kubutua butua mipira mbele tu.

Mbona unasema leo Baada ya kufungwa,hao everton walianza mechi 4 mfululizo bila kufungwa,watu wanasifia everton wako vizuri,vipi tena imekuaje?

Mkuu inawezekana ndio maelekezo ya kocha,maana ulivyosema inaonekana ndio tabia yake .
 
Hata ukiweka na mwamnyeto bado ntachukua mwamnyeto nini Luiz

Jota nimemkubali, kama vipi tufanye swap na mustafi na pepe
 
Hata ukiweka na mwamnyeto bado ntachukua mwamnyeto nini Luiz

Jota nimemkubali, kama vipi tufanye swap na mustafi na pepe
Pepe mr shoto hahaha kwa £80m 🤓🤓🤓🙈🙈🙈huyo dogo sijui anakwama wapiiiii...

Mustafi bora Hendo acheze beki...

Jota ndio future wa front 3..Klopp sasa anamtaka baunsa Traore ili azidi kua na front 3 mpya kwani hawa sasa kwa kasi ya EPL wana miaka miwili mbele waanze kutoa povu...

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…