Rashford huo mkataba wa Pauni laki mbili kwa wiki kapewa lini na akiwa katika Umri gani? Greenwood? Ansu fati ? Saka ? Nketiah? etc etc etc. Nitajie unaowajua wako saqa kiviwango na Trent dogo anacheza vibaya mno aondoke jk ndo utajua Liverpool c chochote
Mishahara ni ishu ya umri umetumikia mwajiri kwa muda gani, una experience ya miaka mingapi. Nitajie unaowajua wako saqa kiviwango na Trent dogo anacheza vibaya mno aondoke jk ndo utajua Liverpool c chochote
Ngapi ngapi??Leeds anatufuta machozi
Aston villa 0-3LeedsNgapi ngapi??
Acha kijipa moyo kijanaBaada ya Aston Villa kumfunga Liverpool 7:
Everton waliingia na Matokeo yao Mkononi kuwa na wao wataipiga nyingi Liverpool
Ajax wakagain confidence kuwa na Matokeo mfukoni ya kuifunga Liverpool
Haters wakabeba Matokeo yao mfukoni kuwa Liverpool itafungwa na Everton pamoja na Ajax,
Hatimae wote hawakuamini kilichotokea.
Tujifunze kuto kubeba Matokeo mfukoni
Acha kijipa moyo kijana
Saizi epl hakuna mbabe
Liverpool ni wa kawaida sana
Man City ni Wale Wale
Chelsea, Man Utd, Arsenal, Spurs
Zote ni timu ambazo zinaweza pigwa na yeyote
Epl saizi ni kupinduana tu mjanja atachukua ubingwa, wala sio kukalili sijui City, liverpool wala nin
So sad [emoji17]Ooooh sawa Mkuu nimekusoma...
Muda utasema..
Ozil naona hayupo tena kwenye mipango..
YNWA
Very sad man...So sad [emoji17]
Sasa Henderson akipewa £40 k ,Keita atapewa £7k sasa.Henderson anatakiwa awe kwenye £40k hivi
Nimeitazama hii mechi kwa kweli Manchester city wapo hovyo, Wanavyocheza hujui goli watafunga muda gani City hawa press tena wanapiga useless pass muda wote......Sijui kwanini Pep anamuamini Sterling kwenye Attacking side yake Always amekuwa akimcost sana kwenye missing chances.Manchester City kakamatwa sare na the Hammers...
Ligi ngumu aisee zamani hapa Pep kashachukua pointi zake 3 mapema...
YNWA
Wazidi kukamatika hamna namna aisee...Nimeitazama hii mechi kwa kweli Manchester city wapo hovyo, Wanavyocheza hujui goli watafunga muda gani City hawa press tena wanapiga useless pass muda wote......Sijui kwanini Pep anamuamini Sterling kwenye Attacking side yake Always amekuwa akimcost sana kwenye missing chances.
Antonio ni tatizo sana Gomez asijelala aiseWazidi kukamatika hamna namna aisee...
Hawa Hammers wamekuja kivingine msimu huu...
Tunao wekedi ijayo..
YNWA
LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA MAN UNITED VS CHELSEA LIVE KUPITIA SIMU YAKO BOFYA LINK HII[emoji117][emoji117][emoji117]
Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVS
Android application: J FOOTBALL & MOVIE TVS, LIVE TV AND NEWSwww.appcreator24.com