choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
kwa rafu walizochezewa Thiago na VVD hata angekua mchezaji gani angejeruhika tuu,Reds Thiago kaumia Tena ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulisema sana wakati wa usajili wake,,, jamaa yupo vzr tatizo Ni hizo pancha ! Akiwa fit anadeliver vyema!
Anyway gari ya mkaa, trip shamba, trip gereji !
Ati miezi Saba VVD ? [emoji1787][emoji1787]!!! Matip nae pancha, uchochoro Gomez atacheza na fabi !
ThiagoTHIAGO pacha kama keita. Yaani liver now shida tupu
[emoji23][emoji23][emoji23] Papa Ndew mmoja ni sawa na kina Lacazette 13Mibeki yenu mibovu mnamsingizia kepa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Onyango mmoja sawa na zouma 9 na Thiago 8 na Christsen 3
Hapo nimewazungumzia katika sentensi moja tu tayari ushajaa upepo. Mbona unapenda kuvamia ugomvi ningeandika paragraph mbili si ungepasuka weweMadrid
Barcelona
Inter
Kufungwa na vitimu vilivyopanda daraja sawa tu, ila arsenal kufungwa na timu kubwa mwenzake ni big ishu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Chelsea wamenusurika nyumbani kwa timu ndogo alafu wana nguvu ya kutunanga, mnapopata hizi nguvu za kujitutumua mtupeleke
Usijifanye hutujui wewe.Ila yako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyani haoni kundule
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kweli kabisa tena siyo 13 ni 26Adrian mmoja sawa na kepa kumi na tatu
Na semi pacha Hendo..Thiago
Alison
Keita
Chamberlain
Matip
Hawa jamaa ni injury prone muda wowote ni watu wa kitandani.
Nyie matakataka jana mmenichania mkeka ..pumbavu kabisa mnashindwa kuchomoa bao moja ..nimekosa 900k hivi hivi dahWe takataka unapatia wapi nguvu za kuinanga arsenal wakati timu yenyewe huna
Niliwapa draw wote nikajilipua na 30k mkeka ukaja 960k matakataka Arse8 yakazingua.🙁🙁Kwa iyo Arsenal ulitaka amfunge City [emoji23][emoji23]
Acha bangi kijana
Namkumbuka yule tall[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Papa Ndew mmoja ni sawa na kina Lacazette 13
Unamkumbuka mchezaji wenu mzee wa power bank[emoji23][emoji23]
Angalia huyu takataka ..wewe una timu ya kuifunga Chelsea?Mibeki yenu mibovu mnamsingizia kepa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Onyango mmoja sawa na zouma 9 na Thiago 8 na Christsen 3
Eeeh.. [emoji23][emoji23] anaingia na viatu vibovu uwanjani.Namkumbuka yule tall[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe nyau si nimekutandika juzi na kombe nikachukua, unajisahaůlisha [emoji1787][emoji1787]Angalia huyu takataka ..wewe una timu ya kuifunga Chelsea?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbeBaada ya aston villa kuwa bonda kipigo cha mbwa koko, kasha gain confidence anachalaza tu
Anapiga tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]