[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli nyani haoni...... [emoji23]Ulianza mama now shemeji relax acha upumbavu fake ID zisikupumbaze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ole kambaleKwan OLE KAMBALE kashinda anfield???
Hilo swali linaweza kuwa gumu OLE KAMBALE kashamfunga Klopp??
Umekuja kwa hasira[emoji1787]KUKU KAMA KUKU
Ni beki overrated tu huyo, kua beki Ipo Sevilla pale anaitwa Kounde ,Mnaosema tunahitaji CB halafu mnayemtaja ni koulibally,[emoji23][emoji23][emoji23] huwa nacheka tuu, beki goli lake liko kulia, anammark mtu kushoto
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] ni kama ilivyokua kwa magwaya watu wakapigwa 80mNi beki overrated tu huyo, kua beki Ipo Sevilla pale anaitwa Kounde ,
Kolibaly hana tofauti na Erick Baily[emoji23][emoji23]
Wapo wengi hao. Wanadrop a chance ya kuishi kwenye upendo mkubwa wa mashabiki na kujitupa sehemu ambayo sooner or later wanaonekana mizigo.Luis Suarez has said he was reduced to tears by Barcelona’s treatment of him in his final weeks at the club before leaving for La Liga rivals Atletico Madrid and revealed he was not allowed to take part in training matches.
"Those days were very difficult. I cried because of what I was having to go through," Suarez told the Uruguay national team's official media after scoring in Thursday's 2-1 win over Chile in a World Cup qualifier.
As if he forgot how his 40m+1 madness..
Ya duniani ni hapa hapa duniani..
YNWA
Yeah Real Madrid na Barcelona zinavutia wachezaji wengi tu ila sasa akatua aafu endapo kiwango kitazima ghafla basi ujue hatakua salama ni attack za media kila kona na mashabiki nao vile vile yaani kila timu ikikwama ushindi basi maneno yotee yanaelekezwa kwa huyo mchezaji yaaani.....Wapo wengi hao. Wanadrop a chance ya kuishi kwenye upendo mkubwa wa mashabiki na kujitupa sehemu ambayo sooner or later wanaonekana mizigo.
VVD mnamficha ktk kivuli cha Adrian[emoji1787]Yeah Real Madrid na Barcelona zinavutia wachezaji wengi tu ila sasa akatua aafu endapo kiwango kitazima ghafla basi ujue hatakua salama ni attack za media kila kona na mashabiki nao vile vile yaani kila timu ikikwama ushindi basi maneno yotee yanaelekezwa kwa huyo mchezaji yaaani.....
Uingereza wachezaji wanakubatiwa wanapendwa wanahusudiwa na lawama kama zipo basi zina mantiki haha kama Adrian wetu [emoji85][emoji85][emoji85]....
YNWA
Hahahahaha ebu tuache na VVD wetu..VVD mnamficha ktk kivuli cha Adrian[emoji1787]
Kama kule unyumbuni wanavyomficha beki ghali Magwaya ktk kivuli cha Victor[emoji38]
Ok[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli nyani haoni...... [emoji23]
Kwahiyo wewe ulivyoita wanaomtetea adrian ni wapumbavu ulikuwa sawa?
Ukaongeza kuwa timu sio ya baba yao pia ulikuwa sawa,
Kaa utulie, pumzika, kichapo cha 7 kutoka kwa villa sio mwisho wa liverpool,
Liverpool ni timu kubwa sana, yale ni matokeo ya soka.
Carragher huyu huyu aliyekuwa anajifunga balaaHahahahaha ebu tuache na VVD wetu..
Uzuri kwenye mpira bhana kama umepotea na juhudi kurudi juu ni hafifu utajulikana tu hivyo soon VVD asipo step up haswa kwenye kile kiwango chake cha 2018-2019 na mwanzo mwa 2019-2020 mbona ataisoma tu namba..
Kwanza Carrager kashaanza kumtupia vimaneno fulani fulani hivi hivyo hayupo salama sanaaaa...
YNWA
This is how this sniffer kid shaded Catalunya with trophiesLuis Suarez has said he was reduced to tears by Barcelona’s treatment of him in his final weeks at the club before leaving for La Liga rivals Atletico Madrid and revealed he was not allowed to take part in training matches.
"Those days were very difficult. I cried because of what I was having to go through," Suarez told the Uruguay national team's official media after scoring in Thursday's 2-1 win over Chile in a World Cup qualifier.
As if he forgot how his 40m+1 madness..
Ya duniani ni hapa hapa duniani..
YNWA
Hahahaha kwa sasa ni moja ya pundits pale sky sports...