Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji119]
 
Record ya jana Usiku:

Goli la 3 lililofungwa na Jota limekuwa goli lá 400 kufungwa na LFC katika ligi tangu Jurgen Klopp aanze kuinoa lfc,,,,akiwa na jumla ya michezo 185 ya ligi....

Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu kuundwa kwa LFC 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️-

YNWA
 
Mkuu AB ni sehem ya Ulinzi ndio maana alitoka jamaa lenu likashikwa kiwewe likafanya ujinga twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DullyJr na Aaron Arsenal msikomae sana na matokeo ya jana jibu hili hapa👇👇👇

"Martinez was sold to Aston Villa for £25m after Arteta could not guarantee him a nod ahead of Leno. Obviously, Martinez was at the heart of Arsenal defence during Leno rehabilitation. Martinez marveled the world by his standout performance which earned Arsenal two trophies".says Tony Adams..

Leno ni Kepa mwingine...

Martinez was the real deal na pale Villa wamepata mchezaji..

YNWA
 
Jota ni balaa..

Miaka 23 tu aisee..

Katupenda mwenyewe..

Shine on Jota...

YNWA
 
Nakubali[emoji736][emoji3581]
 
Nnachoona ni kuwa line yetu nyuma sometime huu mtindo tunaotumia kukaba ya pressing (mbinyo)

Utakuja kutukosti one day tukicheza na team yenye counter za kushtukiza na winga zenye spidi
 
Klopp huyu ni kocha mwenye kujua matumizi sahihi ya akili tunajivunia kuwa nae.

Nnachoona anatafuta backup ya kila mchezaji wa first eleven yetu taratibu bila kuvamia soko kama kina Chelsea .niliposema wamejaza machezaji mengi kwa wakati mmoja ollachuga akabisha .

Ona sasa hata lampard mwenyewe hajui atawatumia vipi..

Hakunaga mjerumani mjinga
 
Kwa hiyo wewe ukisajili ndio wachezaji ila wenzio wakisajili ni machezaji,
unaonekana unaumizwa timu zikisajili kama anavyoumia kocha wako vile [emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…