Octa_dre96
Senior Member
- Feb 7, 2019
- 105
- 157
Huyu jamaa sijamuelewa kabisa. Mchezaji kupata red card ni sehemu ya mchezo. Hakuna cha kusema wangekuwa wamekamilika. Kwani hakuna timu zinazokuwaga pungufu na kushinda? Acha bana habari zako za kishamba...mtu kacheza utumbo afu unataka aachwe.....hyo haipo vijana walicheza tena vizuri sana. Ile move ya Mane asongekamatwa na Cristensen alikuwa anaweka kamba. Sasa unasemaje timu foward yake ni butu?Wana Liverpool tusibweteke kwa ushindi wa majuzi dhidi ya Chelsea,ukiangalia kwa umakini kipindi cha kwanza ambapo Chelsea hawakuwa na red card ni dhahiri bado kuna uzembe pale mbele.
Tunashukuru kwa ile red card but kwa jinsi nilivyoiona ile game kama Chelsea wangekuwa wote kipindi cha 2 kama tungeshinda basi ingekuwa kwa ushindi mwembamba sana.kikosi chetu bado kinahitaji mabadiliko has a mbele.
Wishful thoughts...Wewe Bengalisis na huyo mwenzako Octa_dre96 wote mmekaza vichwa, ushabiki umewajaa mnaropoka tu!
Jamaa Econometrician hajasema kama ile red card sio halali, ile ni straight hakuna anaipinga..
Lakini kama isingetokea ile ajali, ile game ingekuwa ngumu kwenu. Ukiangalia kabla ya Chelsea kupata umeme, ile game ilishaanza kuwa tight kwa timu zote 2.
Tukiweka ushabiki pembeni kipindi cha kwanza nawapa credit Chelsea, walicheza vizuri.. Mashambulizi yao yalikuwa ni hatari zaidi.
Hata kwenye ukuta wao Chelsea wakina Zouma waliweza kumzuia vizuri yule mwarabu wenu.
Kwenye back four yenu bado hakujakaa sawa.. Pamoja na kumrudisha chini Fabinho sijaona kama ile namba itamfaa msimu mzima.
Huyo Fabinho mwenyewe alivyokuwa nyonde nyonde vile tukisema zipigwe zile counter attack kutoka kwa timu pinzani halafu abakie yeye na straika kama Vardy au Auba tunahesabu chuma tu!
Kuna attempt moja aliifanya Timo Werner kwenye 1st half, nje ya dimba.. Alimgongesha mpira Fabinho usoni, ukamrudia tena akasogea akapiga ikaenda nje.
Nikiiangalia ile najisemea tu mwenyewe hawa Liverpool wakiendelea kumpanga huyu Fabinho kwenye position ile, sina shaka na yeye ataanza kuwa wakala wa assist kama mwenzake VVD.
Its just matter of time![emoji16]
Asingemshika lilikua bao lileHuyu jamaa sijamuelewa kabisa. Mchezaji kupata red card ni sehemu ya mchezo. Hakuna cha kusema wangekuwa wamekamilika. Kwani hakuna timu zinazokuwaga pungufu na kushinda? Acha bana habari zako za kishamba...mtu kacheza utumbo afu unataka aachwe.....hyo haipo vijana walicheza tena vizuri sana. Ile move ya Mane asongekamatwa na Cristensen alikuwa anaweka kamba. Sasa unasemaje timu foward yake ni butu?
Wewe ni mshabiki wa timu gani pale EnglandWewe Bengalisis na huyo mwenzako Octa_dre96 wote mmekaza vichwa, ushabiki umewajaa mnaropoka tu!
Jamaa Econometrician hajasema kama ile red card sio halali, ile ni straight hakuna anaipinga..
Lakini kama isingetokea ile ajali, ile game ingekuwa ngumu kwenu. Ukiangalia kabla ya Chelsea kupata umeme, ile game ilishaanza kuwa tight kwa timu zote 2.
Tukiweka ushabiki pembeni kipindi cha kwanza nawapa credit Chelsea, walicheza vizuri.. Mashambulizi yao yalikuwa ni hatari zaidi.
Hata kwenye ukuta wao Chelsea wakina Zouma waliweza kumzuia vizuri yule mwarabu wenu.
Kwenye back four yenu bado hakujakaa sawa.. Pamoja na kumrudisha chini Fabinho sijaona kama ile namba itamfaa msimu mzima.
Huyo Fabinho mwenyewe alivyokuwa nyonde nyonde vile tukisema zipigwe zile counter attack kutoka kwa timu pinzani halafu abakie yeye na straika kama Vardy au Auba tunahesabu chuma tu!
Kuna attempt moja aliifanya Timo Werner kwenye 1st half, nje ya dimba.. Alimgongesha mpira Fabinho usoni, ukamrudia tena akasogea akapiga ikaenda nje.
Nikiiangalia ile najisemea tu mwenyewe hawa Liverpool wakiendelea kumpanga huyu Fabinho kwenye position ile, sina shaka na yeye ataanza kuwa wakala wa assist kama mwenzake VVD.
Its just matter of time![emoji16]
Kunywa maji mkuuWewe Bengalisis na huyo mwenzako Octa_dre96 wote mmekaza vichwa, ushabiki umewajaa mnaropoka tu!

Tulia wewe,Arsenane msijigambe Sisi cyo level zenu mkae mkilijua Hilo
Mpira haupo hivyo huenda tungewapiga nyingi tu ile kadi imewaongezea umakiniWana Liverpool tusibweteke kwa ushindi wa majuzi dhidi ya Chelsea,ukiangalia kwa umakini kipindi cha kwanza ambapo Chelsea hawakuwa na red card ni dhahiri bado kuna uzembe pale mbele.
Tunashukuru kwa ile red card but kwa jinsi nilivyoiona ile game kama Chelsea wangekuwa wote kipindi cha 2 kama tungeshinda basi ingekuwa kwa ushindi mwembamba sana.kikosi chetu bado kinahitaji mabadiliko has a mbele.
. 2lia Wewe j3 cyo mbali Sana useme yako bakiza maneno bhudhaaaTulia wewe,
Natamani sana iwe kweli hiyo dogo natumai atang'ara sana
Wewe Bengalisis na huyo mwenzako Octa_dre96 wote mmekaza vichwa, ushabiki umewajaa mnaropoka tu!
Jamaa Econometrician hajasema kama ile red card sio halali, ile ni straight hakuna anaipinga..
Lakini kama isingetokea ile ajali, ile game ingekuwa ngumu kwenu. Ukiangalia kabla ya Chelsea kupata umeme, ile game ilishaanza kuwa tight kwa timu zote 2.
Tukiweka ushabiki pembeni kipindi cha kwanza nawapa credit Chelsea, walicheza vizuri.. Mashambulizi yao yalikuwa ni hatari zaidi.
Hata kwenye ukuta wao Chelsea wakina Zouma waliweza kumzuia vizuri yule mwarabu wenu.
Kwenye back four yenu bado hakujakaa sawa.. Pamoja na kumrudisha chini Fabinho sijaona kama ile namba itamfaa msimu mzima.
Huyo Fabinho mwenyewe alivyokuwa nyonde nyonde vile tukisema zipigwe zile counter attack kutoka kwa timu pinzani halafu abakie yeye na straika kama Vardy au Auba tunahesabu chuma tu!
Kuna attempt moja aliifanya Timo Werner kwenye 1st half, nje ya dimba.. Alimgongesha mpira Fabinho usoni, ukamrudia tena akasogea akapiga ikaenda nje.
Nikiiangalia ile najisemea tu mwenyewe hawa Liverpool wakiendelea kumpanga huyu Fabinho kwenye position ile, sina shaka na yeye ataanza kuwa wakala wa assist kama mwenzake VVD.
LIts just matter of time![emoji16]
Awesome news...
Ulichokinena ni sahihi, ukitathimini mechi hizi mbili za ligi utagundua timu bado haipo vizuri,tunacheza slow sana, back passess ni nyingi na hakuna mashambulizi ya kueleweka katika lango la wapinzani, Kiufupi magoli na ushindi wetu umekuwa kama wa bahati.Wewe Bengalisis na huyo mwenzako Octa_dre96 wote mmekaza vichwa, ushabiki umewajaa mnaropoka tu!