Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haya zamu yetu sasa kujipigia hawa nyau kilaini wapo kumi sasa
Am sure pale mane alikuwa anapiga goli
Bila kale katoto kushika hahahaj
 
Bado haijamuondoshea kuwa yeye ni mchezaji mzuri, hayo anayoyafanya wachezaji wetu wanayafanya zaidi ya hayo
Hakuna sehemu tumesema ni mchezaji mbaya au kwa sababu ya ugeni?
Anamalizia cross ya chini ile bila kuangalia goli ujue unapiga pande gani..! Na akakosa

What a player..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…