Mkipigwa cha tatu nitakutaka radhiNitake radhi mkuu
Kadake ww uone allison anakunyoosha ngapKepa fala sana mxiiiwwww zake
La Masia graduate...Ila Thiago ni mtu na nusu. Anacheza utafikiri alikuwepo tangu msimu uliopita
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tunamla mtu wetu bila bugdha🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣 YNWARaha Sana kuishabikia Liverpool
Inaitwa Cash goals
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 Ollachuga Oc kishajipiga ban.Yeyote ambaye ana uhakika liverpool atashinda atakuwa amekosea sana. Mimi nina uhakika tunawapiga mbili bila.
Twende darajani