Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwako Kai gemu ya kwanza mbona hakung'aa... kama mtamtumia kama winga wa kulia basi ujue atakua Torres mwingine hamtaona utamu wake... Yule atumike kati ndio mtafaidi...

YNWA
Mkuu huyu Jota ni bench wormer pale Wolves, sijui klopp kaona nini kwake enewei subiri tuone yasije kuwa ya minamino

Pale mimi naona tumepigwa wazi wazi ..hata huyu Thiago ligi itamshinda tu
 
Mbona povu mzee huo ndo ukweli mmejaza mapancha mengi sehemu moja hayawezi kuelewana.
Eti na we unatutisha hahahh
Siyo povu unasema tumesajili hovyo wakati tulifungiwa usajili ..unategema tungesajilije wakati ma gap ni mengi, au unaifananisha Chelsea na liverpool.
 
Minamino mtakuja kumwelewa tu time will tell. Hata fabinho kabla hajakach up na mfumo vizur hakuna aliyemwelewa vizur
Minamino yuko alipotoka alikuwa balaa ila mambo ya klopp siyo mazuri kaua au anaelekea kuua kipaji, angalia kwa Keita ..bonge la middle ila ndo hivyo ..

#tusubiri Kesho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…