Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umeongea sana kwa moyo mwanzo mwisho, but all i can see ni utumwa wako na ujinga wako kwenye ushabiki, sometimes mapenzi yanaweza kukufanya uwe mtumwa na usijijue kabisa, kama moyo huo ungeuweka katika kutengeneza your career na pia kujitengenezea mashabiki na wateja ungefika mbali, ndo maana naachana na ushabiki sahvi japo najua itanichukua mda wa kujijenga katika njia mpya,
Nachojiuliza kila siku ni kwann binadamu wanakuwa na ushabiki wa kipumbavu kiasi iki uku wakishabikia kijina tu na sio location wala watu walioko kwenye ilo jina, is it because of history????, We make our only history
 

Ndugu Jifunze ustaarabu katika kukosoa
 
Traore hamuwezi bei, Jota kwa wolves sio very important wa kusema asipokuwepo team inasuffer, mechi nyingi tu anaanzia benchi, na kaja liverpool kuongeza benchi, inshort ni kabadirisha kiti
 
Huo userious wako mkuu peleka kwa vikao vya familia

Tuache na ushabiki wetu wa kipumbavu we endelea na kutengeneza historia bwana BILGERT
 
Mzee baba una bifuu na Mosdef nini maana sio kwa ukosoaji huu aisee
 
We jetekenye tu
GGMU.
Nawatamani sana manyumbu aisee..mimi huwa raha yangu inakamilika tukiwafunga wale manure...

Na hivi kikosi ndo kinakamilika, lazima wakae nje ndani msimu huu
 
cb anaweza asisajili, nasoma soma kwamba jk anawa-rate sana Sepp V, Nat na yule u-18 mweusi........ nadhan ndio sababu tunaona amemuuza KJ ho
Shinda yangu sio hao vijana wa Team B to step up ila Mkuu unafahamu msimu kutokana na Corona mechi zimekua so squeezed yaani ni wasi wasi sana na Matip na Gomez kukaa fit mpaka January yaani..

Kuna Carabao, EPL, International, UCL yaani zinakuja thick and fast lol kazi ipo..

Fabby nandani ndio hidden card ya CB incase kukiwa na vacuum...

In Klopp i trust...

YNWA
 
Maneno yote haya Ulikuwa unamaanisha nini "tajiri"

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mashabiki mnapiga kelele amlete yule Baunsa wa club traore kumbe mwenzenu anamuangia DIOGO. Hatuna club za kulinda anfield mpk tumtake Traore
Business wise Traore ni expensive kipindi hiki since Wolves walishasema bei ya kuanza mazungumzo ni Β£70m hapo hujagusa mshahara ukute anataka kuanzia Β£200k kwa wiki..

Kwa Jota tumepata jembe..

YNWA
 
Mzee baba ulipotea sana. karibu tena hapa jukwaani. Tulikumiss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…