Ndio maana klop hasikilizagi mashabiki ni gharama sana kuwa na semi-world class CB wanne kwenye timu ndio maana mtu Kama fabihno huwa anatrain hilo eneo sometimesMatip spana mkononi, Gomez kaflop vibaya sana, kuna haja ya kumleta beki mmoja mkali na katili ili tuishi salama na kwa amani
HOEVER for 13.5[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Michael Edwards nimemvulia kofia aisee....
kwa hiyo ina maana kwenye deal hii tutalipa only less than £4.5M ndani ya msimu wa kwanza, so no financial stress for our club!
View attachment 1573927
Michael Edwards, the man ... the myth ... the legend...Michael Edwards nimemvulia kofia aisee....
kwa hiyo ina maana kwenye deal hii tutalipa only less than £4.5M ndani ya msimu wa kwanza, so no financial stress for our club!
View attachment 1573927
Nilielewa ila nimeivutia kwa upande wangu kwanza..Kwahiyo chelsix na ninyi mnataka tuwaite Nyumbu au comment yangu hukuielewa.
Huyo huyo gomez anafaaMatip spana mkononi, Gomez kaflop vibaya sana, kuna haja ya kumleta beki mmoja mkali na katili ili tuishi salama na kwa amani
Na ndio nachompendea klopp watu walitaja majina KIBAO mara sarr sijui traore kumbe Yeye 2 years anamuangalia JOTA.Ndio maana klop hasikilizagi mashabiki ni gharama sana kuwa na semi-world class CB wanne kwenye timu ndio maana mtu Kama fabihno huwa anatrain hilo eneo sometimes
Actually its £45m for Jota and am happy we are getting this kid at 23 yrs of age means Klopp planning life post his influential front 3s..Jota is a Klopp type of player but for 35M? a big question mark.
i reckon this saga will linger on for quite some spell - likely to go right down to the wire, i could be wrong though!
Ni kesho Mkuu na huyo kipa wenu ndio mtaisoma namba..Mpaka sasa tunaongoza mbili bila wafungaji ni Werner na Azpiqueta.
Ni kweli zipo gemu nyingi tu...Klop hana tabia ya kuharakisha waagen gemuni, coz anajua wazi akiflop mwanzon itamchukua mda kucop with all media talks, that man knows how the world works
Wana Liverpool HALISI league imeanza tena,tuwe nyuma ya team bila kujali matokeo
Ni matumaini yangu kuwa sisi wana Liverpool halisi tutazidi shikamana
Leeds kakaa
Sasa kesho ni Chelsea
Ni pazuri huyu Jota ni kama Firmino wa enzi hizo..Hili nimelisema jana humu kuwa tunahitaji mtu wa kumchallenge Firmino... jamaa kama kachoka halafu kama majukumu yamemzidia
Jota usajiri mzuri kabisa
Umemuona MosDef kaja na wewe umejitokeza, usitake tuwaze ujinga kuwa MosDef kuna muda anatuchora kwa hii ID ya MalafyaleWana Liverpool HALISI league imeanza tena,tuwe nyuma ya team bila kujali matokeo
Ni matumaini yangu kuwa sisi wana Liverpool halisi tutazidi shikamana
Leeds kakaa
Sasa kesho ni Chelsea
Alie panga hii atafungwa kwakua mpira unadunda tu
cb anaweza asisajili, nasoma soma kwamba jk anawa-rate sana Sepp V, Nat na yule u-18 mweusi........ nadhan ndio sababu tunaona amemuuza KJ hoActually its £45m for Jota and am happy we are getting this kid at 23 yrs of age means Klopp planning life post his influential front 3s..
Jota can play in 5 positions, he can play right winger, left winger, central striker and right attacking midfield, central attacking midfield.. So he is our new Mr Utility or our new Firmino kind of boy..
If you watched Wolves games previously like last season you could tell if he is bringing that sharpness, quick decision making,agility and hungry to win, then we have one hell of a boy..
Klopp looking ahead and this was the Fergie way to maintain his winning squad..
Now we get another cb and we are damn good to attack the Epl trophy...
We are in sell to buy mode..
Lovren+ki Jana+Ejaria= Thiago
Brewster+........ =Jota
YNWA
Wewe ndio unaona Mabeki wako sawa,Nakuhakikishia hapa Klopp atasajili CB mwingine kabla dirisha halijafungwa.Tunza hii nitakukumbusha.Na ndio nachompendea klopp watu walitaja majina KIBAO mara sarr sijui traore kumbe Yeye 2 years anamuangalia JOTA.
Mabeki Wako sawa tu hawjaa shida. Few bad games hazikufanyi ukimbilie usajili.
Hao hao gomez van dyk na matip wataendelea hapo Kati na yule dogo Mweusi jina limenitoka klopp Ana mrate vizuri Sana.
Hajausika kwenye dili kabisaKI-JANA ANAKWENDA WOLVES KWA £10. SO NI KAMA NAE KAHUSIKA KWENYE DILI
Mkuu tunakuja London kesho [emoji847]Asee mnatanya sajili za maana sana. Hakika mnajiandaa zaidi kutetea ubingwa.