Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa ndugu mie Ikay nilivyomuona ameanza huku akiwaacha Silva, Bernado na Mahrez benchi niliona watapata taabu hata watangazaji walikua wanasema pengine baada ya kuona response ya Lyon abadili mfumo chap lakini wapiiii kakomaa vile vile...

Pep has damn some balls in him sio utani yaaani jamaa hapangiwi wala nini yeye akiamua selection ndio hivyo hivyo... Lyon had a game plan to sit deep and counter as a unit with no easy ride...

With this kind of mentality utadhani alikutana na Brighton nk.. This is UCL na Lyon wanajua once in blue moon kujikuta wapo on that level of last 8 hata sikumbuki mara ya mwisho walifika hapo lini...

Mshahara wa Pep kwa mwaka before adds on ni £15m 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ si mchezo guys... He is paid that salary to compete at the highest level to conquer the rest na ndio maana mpaka wachezaji aki point wanaletwa chap na mishahara yao pia yakueleweka hivyo maumivu waliyonayo sio ya kawaida kuanzia Mansour, Txikki, Solano, Pep, wachezaji, mashabiki nk

Pride comes before fall..

YNWA
 
Hujawajua watu wa humu, ni vile wamechukua epl tena bila mashabiki uwanjani. Uwe unatembelea wakiwa wanakandamizwa ndiyo utajua kukoje. Halafu ile thread yetu ya wafalme wa epl ina tatizo la kuvamiwa na mamluki kama wewe, hasa pale tukifungwa tu, mnakuwa na nongwa, mnaongea pumba, utumbo ndiyo maana liko vile. Ila sisi wenye timu yetu wala hatuna ngebe, tunaitathmini timu na mpira wenyewe wa on pitch.
 
Mfalme umechukua kombe gani?
 
Barca are almost bankrupt 😂😂😂hawamuwezi huyu Pep wa sasa..

Manchester City sioni wakimtimua labda kuwe na kipengele cha kusitisha kwa any party mambo yakiwa kama yalivyo sasa..

Hana cha kulaumu amepewa sapoti ya kutosha usajili wa wachezaji kwa mfano kuanzia 2017 wametumia £324m kusajili mabeki tu sasa jamani utasema wamilikia hawamsaidia kutimiza malengo.. Jumla ya usajili wao kwa miaka mitano ni £800m.

Pep has spent 762.3 million euros, tangu ametua Manchester City...

Pep Guardiola's total spending as a coach to 1.307.9 billion euros(Barcelona, Bayern Munich na Manchester City)

jumla amefanya kazi hio kwa misimu 11 akiwa kocha wa hizo timu 3.

Ameshinda UCL mara 2 mwaka 2009 na 2011 tu pamoja na kupewa mahela yote hayo...

Pole kwaoooo..

YNWA
 
Ulikuwa bado mdogo hii.

Achia wazee
2004 mkuu nilikuwa na miaka 9+ ivyo naifahamu Chelsea vilivyo naweza kukutajia kikosi chote cha wakati huo ambacho kilileta mapinduzi makubwa kiasi Kwamba kiliweza kubeba ligi mara mbili na kuingia fainal 2008 na man u ..ivyo nikumbushe iyo game mkuu..

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…