wakanaswa kwa Pepe 72m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka last season walivomkosakosa Mtu kwa Madison [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini nina uhakika kati ya Manure na Chelsea lazima mmoja wapo atapigwa kwa Chillwel [emoji23][emoji23]
Lakini masihara mbali na Nyinyi mulikoswakoswa kupigwa kwa Thomas Lemar (£90M) na Wilfred Zaha (£75M) [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui Shetani gani nikamnyonge aliyewazindua Punda nyie [emoji23][emoji23]
Nakumbuka last season walivomkosakosa Mtu kwa Madison [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini nina uhakika kati ya Manure na Chelsea lazima mmoja wapo atapigwa kwa Chillwel [emoji23][emoji23]
Lakini masihara mbali na Nyinyi mulikoswakoswa kupigwa kwa Thomas Lemar (£90M) na Wilfred Zaha (£75M) [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui Shetani gani nikamnyonge aliyewazindua Punda nyie [emoji23][emoji23]
Thomas lemar msimu wa 2019/2020 umeisha ana 0 assist na 0 goal [emoji3]
View attachment 1540043
Pepe ndio thaman yake halisi hiyo ,tena imefichuka imefika €100mwakanaswa kwa Pepe 72m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hiyo 2024 wasijichanganye wakamleta Stev G, kumfukuza itakua ngumu, kumvumilia maumivu yatazidi...... atakua sosha mwingine
Hahaha na kweli utulivuuu upo sana tuu...Nimefurahi sana Jana , Jumatatu imekuwa tulivu
Pepe hajaflop.... Angalia takwimu then compare na wengine ktk eneo lake, bila kusahau mazingira aliyoyakuta ktk timuwakanaswa kwa Pepe 72m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Bernado ana nini kama hakutaka hao mashabiki wa Liverpool wamcheke wangekomaa watoke na ushindi sio kwenda kulialia Twitter as if mechi ilichezewa hukooo...
Chini ya makocha watatu 18G/APepe hajaflop.... Angalia takwimu then compare na wengine ktk eneo lake, bila kusahau mazingira aliyoyakuta ktk timu
Huyu Bernado ana nini kama hakutaka hao mashabiki wa Liverpool wamcheke wangekomaa watoke na ushindi sio kwenda kulialia Twitter as if mechi ilichezewa hukooo...
Whining cant win them anything.. Watulie sidano izameeee...
YNWA
city naona wamepaniki sana, it was the only realistic chance ya wao kugusa japo semi kwenye CL....... dont think wana nafasi nyingine huko mbele maana next season timu zitakua on fire