na huu ndio ubaya wa klop, kwanini asiwatingishe kidogo hawa?.......Ukweli usiofichika ni kwamba Klopp aliwataka Auba, Pulisic, Werner, Fekir na Coutinho lakini Matajiri (FSG) wamegoma kutoa!
Nadhani wanafidia yale matumizi yao waliyofanya kwa VVD, Alisson, Fabinho na Keita.
Wamemuuza Solanke na Danny Ings kwa hela nzuri tu lakini hawakuzitumia kusajili mpaka leo.
Hapa tusubiri U16 asajiliwe tuambiwe anajenga Future.
Sijawahi kuamini bahati katika mpira
Origi sio kwamba anajua mpira anabebwa na bahati hawezi kucheza mechi sita na kufunga magoli hata katika mechi nne akijitahidi sana ni mechi moja ama mbili
For the last 5 years Manchester City's net spend is some £505.6million and Manchester United's is £378.9million na bado jamaa dirisha hili wameingia sokoni mazima regardless ya effect za corona ama kuuza wachezaji walionao..
Huku sisi net spend yetu ikiwa £92.4m for the past 5 years..
Ki ukweli Klopp alitakiwa all his target apewe tu aidha ni Kalidou, Timo, Kai, Sanco nk maana hizo ela zipo kabisa..
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhalibasi sawaa, ngoja ni[emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436]
Kabisa ndugu ndio hili la hatuna pesa kwangu siamini aisee...Hiki ndicho kinanishangaza, toka Klopp aje hajafanya blunder kwenye transfers.
Sasa hii ingekuwa motivation tosha ya wao kumpa sajili anazozitaka ukichukulia pia timu iko financially stable.
Hii timu bhana utafikiri wameshika nafasi ya saba yani mmedorora
Hii timu bhana utafikiri wameshika nafasi ya saba yani mmedorora
Huyo ni MAMAESTER UNITEDWewe Babu mawe hasa ni timu gani? Umekuja na kasi sana
HahahaaaaSisi tunaenda iwakilisha vyema England kwenye UEFA usiku wa leo..
Kipigo cha mbwa koko kitatembezwa kwa wale mbwa wa ujerumani adi washangae ..
Miaka kadhaa nyuma pale Allianz..tulibeba uefa wakiwa wanaona..
Sasa tunakwenda kupindua meza kibabe
Amini Kwamba
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Naumia sana anavyo pondwa Origi mtu anapangwa dakika kumi akikosea tu hafaiii na kuna mtu kacheza dakika 80 kimakosa huoni mshangao kwa watuOrigi ni shujaa wa the best night ever at anfield..
Wewe unamchukuliaje poa?..
Mpira Una Royalty na loyalty..sio mahesabu Tu kama kampuni...
Ana cheza dakika ngapi? Na huyo Wilson umempimaje na Origi?Sijawahi kuamini bahati katika mpira
Origi sio kwamba anajua mpira anabebwa na bahati hawezi kucheza mechi sita na kufunga magoli hata katika mechi nne akijitahidi sana ni mechi moja ama mbili
Du Jamaal bye bye tena...Kudadeki! Tunaanza na Left Back.
Akishasema Paul Joice Mimi ni nani hata nisiamini?
Kudadeki! Tunaanza na Left Back.
Akishasema Paul Joyce Mimi ni nani hata nisiamini?
Timu yetu asee hili limetushinda kweli
Liverpool and Norwich fail to reach an agreement for Jamal Lewis, with the Premier League champions close to signing Konstantinos Tsimikas as cover at left-back for €13m (£11.75m) from Olympiacos. Medical expected early next week.
hamia mkuu nafasi zipo wazi, shida nini?[emoji3]Hii timu bhana utafikiri wameshika nafasi ya saba yani mmedorora
dah,....[emoji44][emoji44][emoji44]Kudadeki! Tunaanza na Left Back.
Akishasema Paul Joice Mimi ni nani hata nisiamini?