Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
ndio ukweli mkuu, pale mbele kuna tatizo, tunahitaji msaada , bila kusahau AM japo kwenye AM i guess klop anategemea Keita atakua fit!Kuna muda nawaza sana kuhusu usajili, ila najipa moyo kwamba hata msimu ulioisha hatukusajili na mambo yamejipa.
Binafsi nikifanya rejea kwenye UEFA, kuna muda naona kabisa tumechukua PL si kwa ubora sana, bali ni kwa ubovu wa wapinzani.
Tusipoimarisha tutateseka sana msimu ujao.
ndio ukweli mkuu, pale mbele kuna tatizo, tunahitaji msaada , bila kusahau AM japo kwenye AM i guess klop anategemea Keita atakua fit!
ngoja tuone, ila nimeona kops wengi hata wale die hard wanaongelea cb, cover ya robo, na striker.........Timu tuliyonayo inaweza kufanya vizuri EPL, ila UEFA inahitaji wachezaji bora zaidi ya hawa wa sasa.
Firmino ni determinant kubwa sana kwenye hii timu, kama atarudi form na Keita asiwe na majeruhi, kiungo tunaweza kusamehe, ila beki ni habari nyingine aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaogopa nini sasa!Jurgen Klopp:
βI never looked like my father my whole life. I looked like my mother. All of a sudden, βItβs my dad!β. Really crazy. But the support never stops.
My dad died four months before I became a manager. Thatβs hard, to be honest, from time to time. What makes it really strange is, now Iβm 53, if I sit in a specific angle and look in the mirror, I am scared to death because I look exactly like my father.βView attachment 1527822
Jamaa katukanwa anaanza kuita mods[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji867] Mpeni raha huyo bibi mawe.. Acheni uchoyo
aisee wakiendelea na mtindo wa kusajili wachezaji wa mia mbili tutaachwa tena fsta, hawa wamarekani wanadhani liverpool ni boston red sox nyingine!FSG wajanja kuliko Shetani [emoji23][emoji23]
Walitumwagia mihela ya kufa Mtu ya kuwasajili Fabinho, Alisson, Keita, VVD, OX na Salah tukaona Yes sasa na sisi tumeingia kwenye kundi la kununua Top Players na sio tena kina Voronini [emoji3][emoji3]
Dadeki kumbe waliplan kabla kuwa misimu 5 mbele hawanunui tena mchezaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasahivi wanatutupia Vitoto vya Β£3M tu kwa kisingizio cha Future plan [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi present hatuihitaji sisi ni wazee wa future tu [emoji23][emoji23]
Kama bado kuna Wanaoamini kuwa alichotufanya Atletico Madrid ni bahati mbaya na sio red light kwetu basi kazi ipo! [emoji23]
Washabiki wenzangu tuukubali ukweli kuwa AM hakutufunga kwa bahati mbaya bali ule ndiyo uwezo wetu kwasasa [emoji23][emoji23]
Tusajili tu sio kila siku Ijumaa
FSG wajanja kuliko Shetani ππ
Walitumwagia mihela ya kufa Mtu ya kuwasajili Fabinho, Alisson, Keita, VVD, OX na Salah tukaona Yes sasa na sisi tumeingia kwenye kundi la kununua Top Players na sio tena kina Voronini ππ
Dadeki kumbe waliplan kabla kuwa misimu 5 mbele hawanunui tena mchezaji πππ
Sasahivi wanatutupia Vitoto vya Β£3M tu kwa kisingizio cha Future plan πππ
Hivi present hatuihitaji sisi ni wazee wa future tu ππ
Kama bado kuna Wanaoamini kuwa alichotufanya Atletico Madrid ni bahati mbaya na sio red light kwetu basi kazi ipo! π
Washabiki wenzangu tuukubali ukweli kuwa AM hakutufunga kwa bahati mbaya bali ule ndiyo uwezo wetu kwasasa ππ
Tusajili tu sio kila siku Ijumaa
Mkuu huo ndio ukweli kuntu...Kuna muda nawaza sana kuhusu usajili, ila najipa moyo kwamba hata msimu ulioisha hatukusajili na mambo yamejipa.
Binafsi nikifanya rejea kwenye UEFA, kuna muda naona kabisa tumechukua PL si kwa ubora sana, bali ni kwa ubovu wa wapinzani.
Tusipoimarisha tutateseka sana msimu ujao.
Oya nyie liverkuku aya njooni mtazame vidume vikiwawakilisha SAA 4 nyie si mshatolewa
Mmetolewa ndo hasira zote hiziDemu akikosa attention anakuwa kama kichaa, mara ajipitishe na nguo fupi, mara ajipitishe anatingisha makalio, mara ajipitishe anaimba imba.
Ili mradi tu apate wa kumwita.
Pep katika ubora wake kashapata wawili Torres kutoka Valencia ni winga na beki machachari Ake mwenye uzoefu wa EPL..Kuna muda nawaza sana kuhusu usajili, ila najipa moyo kwamba hata msimu ulioisha hatukusajili na mambo yamejipa.
Binafsi nikifanya rejea kwenye UEFA, kuna muda naona kabisa tumechukua PL si kwa ubora sana, bali ni kwa ubovu wa wapinzani.
Tusipoimarisha tutateseka sana msimu ujao.
Pep katika ubora wake kashapata wawili Torres kutoka Valencia ni winga na beki machachari Ake mwenye uzoefu wa EPL..
Yetu macho na masikio π€π€π€π€
YNWA