Kumbe umekubali position aliyopo Mane? Sasa mbona hawakumpa Player of the Year kama ndo namba 1 kwenye contribution ya Ubingwa na badala yake wakampa Le Captain?Wajina namuona Le capitain ktk top3, yah ingawa bado naamini huyo wa pili alistahili kuwa wa 3 na wa 3 awe wa 2
Kumbe umekubali position aliyopo Mane? Sasa mbona hawakumpa Player of the Year kama ndo namba 1 kwenye contribution ya Ubingwa na badala yake wakampa Le Captain?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ukishakuwa tajiri kila mwanamke anataka kuzaa na wewe, naona na wewe unakuja kutafuta wa kukupa mimba.
Karibu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tusubiri tuzo ya mchezaji bora wa club kadri ya kura za wachezaji wenzake!Kumbe umekubali position aliyopo Mane? Sasa mbona hawakumpa Player of the Year kama ndo namba 1 kwenye contribution ya Ubingwa na badala yake wakampa Le Captain?
😂😂😂😂😂😂👌👌👌👌Ukishakuwa tajiri kila mwanamke anataka kuzaa na wewe, naona na wewe unakuja kutafuta wa kukupa mimba.
Karibu.
Liverkundu bhana kubeba kikombe wanajiona matajiri dawa yenu inakuja
Wewe kweli bumunda, hili jukwaa ingekuwa group la whatsap ungekula life banTusi liko wapi hapo sasa
Aondoke Origi apande Brewster au sio?Bora hao wameondoka tumebaki na Origi sijui anaondoka lini
Brewster ni mchezaji wa kawaida sana wanamuoverrate tuAondoke Origi apande Brewster au sio?
Ha ha haaa
Ha ha haaaa kuna watu mitazamo yao ipo kwa watu wakiwasikia fulani hafai basi ndo hatofaa.Brewster ni mchezaji wa kawaida sana wanamuoverrate tu
Ukapimwe akili wewe taahira asee[emoji23][emoji23]Mkuu unaonaje mkatupa huyo Jordan Henderson ili tuwape AUBAMEYANG,
ahahahahah ni swali la mtego najua humpendagi ChamberlainHa ha haaaa kuna watu mitazamo yao ipo kwa watu wakiwasikia fulani hafai basi ndo hatofaa.
Nauliza tu hivi Chambalin na shaqil nani kamzidi mwenzie?
Mkuu mimi napenda mchezaji anaefanya kitu uwanjani Chambalini inategemea na mechi Shaqili mechi zote alizo cheza hokosi kitu cha kumsifia.ahahahahah ni swali la mtego najua humpendagi Chamberlain
Ila mimi wote naona wako sawa na wanajua ila tu Shaqiri hakupewa muda wa kutosha
All the protocols observed...here comes the gaffer himself... BBC Sport readers award.
Masaai Ole vipi? in maana hakupigiwa kura hata moja even na wapenzi wa Manure?
View attachment 1520524
View attachment 1520522