Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Huyu mjuba sitakaa nimsamehe ile game ya Chelsea.

Hatukuwa na sababu ya kutafuta ushindi wakati droo inatulinda.

Unapeleka timu mbele unamwacha Gerrard peke yake! That was very bad approach.
 
huyu brendan wamarekani walikua na haki kumtimua, kocha gani unapohitaji ushindi unapigwa kizembe vile?


manure kwenda cl itaniuma sana,....... na inavoelekea wataenda hawa!

Kwenda CL sikupenda lakini pia kuna faida zake coz kule Uropa kuna watoto wengi Menure Huenda akishiriki kule atalibeba lakini huku CL ataliwa mapema tu.
 
Kwenda CL sikupenda lakini pia kuna faida zake coz kule Uropa kuna watoto wengi Menure Huenda akishiriki kule atalibeba lakini huku CL ataliwa mapema tu.
mkuu hawa nao sio wa kuwaamini sana, game za presha nadhani na wao hawana uwezo nazo!


usishangae yakashindwa ku-capitalize kwenye hata matokeo ya leicester......
 
Problem kubwa ya Rodgers ni defensive schemes, muda anaotakiwa kucheza defense hachezi.

Hata alipokuwa kwetu, ule ubingwa tuliukosa kwa sababu hatukutaka kudefend hata kidogo.
Yaaani just like kipindi kile alikua kwetu mahesabu yake hua yanamwangusha mno...

Nakumbuka ile gemu ya Chelsea na Crystal Palace yalitukuta yakutukuta....

Sasa anaanza ramli Westham wampige Manchester United Jumatano aafu gemu ya mwisho amkomalie draw ama ushindi...

Sioni akikwepa Europa huyu..

YNWA
 
shida ni kwamba hata westham wakidroo na manure, brenda hawezi kushinda game yake akiwa home!


anyway ngoja tuone, ila simwamini sn brendan
 
Sijakana maneno yangu bali nimefanya Clarification kwenye maneno yangu.

Nilisema ni wachezaji wa Midtable teams sikumaanisha kuwa wanatoka Midtable teams, bali wao uwezo wao ni wa Midtable teams.
Nimekuelewa vema Sasa mkuu,ila macho hayafanani wewe unavyoona ni tofauti na Klopp anavyoona, ulijuaje Wij na Mane kama wangekuwa na class hii ya Sasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…