OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Ake muondoe hapo uyo anarudi Chelsea.
Nakuona baunsa tshirt hii imekutoa balaa
Nategemaa kukutana na ninyi community shield..nilipize kisasi cha supercup
Man u 1-2Chelsea
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ake muondoe hapo uyo anarudi Chelsea.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Leo game ya Leicester vs Tottenham mnisaidie kuniombea Leicester ishinde.
Naona unataka Manure asiingie Top Four? Sio rahisi sana ingawa lolote lazweza kutokea
Mkuu kwanini unaihofia sana Man utd?hahaha au chuki tuYaani ni ngumu sana ila natamani sana haya matokeo.
Mkuu kwanini unaihofia sana Man utd?hahaha au chuki tu