Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yale mapumziko ya miezi 3 ya Corona haya kuwa na faida yoyote kwa Timu yetu

Nikama wiki mbili za mapumziko zile wachezaji wetu hawataki kupewa mapumziko yoyote maana wakirudi kutoka mapumziko ndio wanazidi kuwa wazito na umakini unapungua.
 
Madogo kama hawa wanapogaiwa namba wakabahatisha kufunga ndiyo wanapata morali wa kujituma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…