Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
huo usajili wa pjanic wenyewe naona barça wanajichimbia shimo tu...... mkuu at 29 aproaching 30 sidhan kama mchezaji kama huyo tunamhitaji
liverpool sio sehemu ya kula pension, kwangu mimi bora tuwekeze kwa kijana under 23 hata kama bei yake itakua mara mbili ya thiago!,,, wakati huu tukiwa top ndio muda mzuri wa kujenga timu ya baadae vinginevyo tutarudi kule kule
ngoja waje wakupige mawe!...... nakumbuka ule mjadala wa werner tulipokua tunasema front 3 yenu inahitaji mtu mpya kuna watu walikua wanapinga sana!
sijui wako wapi wale
dah...... mkuu kwamba hujanielewa au?Mkuu yaani uwe PL winner halafu unaanza tena kuwekeza kwa under 23?
'Vinginevyo tutarudi kule kule' sasa wewe ndo unataka turudi huko na hao under 23 wako
Lakini yupo sahihi, msimu huu timu zote zimekula vichapo hata huyo man city na watford
mkuu, unaonaje wachezaji rika la wener, harvetz, na wenye uwezo kama huo wakaongezwa walau wawili..... utakua na mashaka kuhusu future yetu?Baada ya Invincible ya Arsenal 2003/4 na kumalizika kwa Timu yao Completely 2006 na Arsen Wenger akaanzisha project ya kuwekeza kwa Vijana ambapo alianza kuibuka na kina Welcot, Clichy, OX, Gibs n.k. nadhani unajua kilichotokea mpaka kufikia leo.
Barcelona kizazi cha LAMACIA ni Messi peke yake ndiye aliyejihakikishia Ustaa akiwa Mdogo! Hao kina XAVI, INIESTA, BISQUET, PIQUE walisubiri kina DECO, YAYA TOURE, MARQUEZ, RONALDINHO kuwapokea Wakongwe hao wakiwa tayari wameshapevuka.
Kwahiyo MAKOMBE yanahitaji Watu waliokomaa na siyo Vitoto vya U23
Na ndio hio hio iliozipiga timu zote za PL msimu huu unayoijua wewe mana haijabadilika.Lakin hii liverpool iliyopigwa 4 ndo liver nayoijua mimi.
Mkuu hao unaoita vijana wanahitaji seniors kuwakuza and to mentor them pia winning mentality is gained by winning trophies oftenly and who else is more suitable than this decorated Thiago..huo usajili wa pjanic wenyewe naona barça wanajichimbia shimo tu...... mkuu at 29 aproaching 30 sidhan kama mchezaji kama huyo tunamhitaji
liverpool sio sehemu ya kula pension, kwangu mimi bora tuwekeze kwa kijana under 23 hata kama bei yake itakua mara mbili ya thiago!,,, wakati huu tukiwa top ndio muda mzuri wa kujenga timu ya baadae vinginevyo tutarudi kule kule