Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahaha babu weee...Mimi leo niko zangu nafuatilia LIvescore Chelsick Vs Man Shit huku nikiwatakia kila la kheri Chelsick... Yaani wakiwatwanga hawa majamaa au hata wakitoa droo tu....vijana wangu wanatwaa ndoo wakiwa hotelini...
Natamani nimwone msaliti Raheem Sterling anavyoumia anavyowapa vijana ubingwa wakiwa hotelini wanakunywa wine...
Duuh Mkuu i forbid hayo yatokee...Neco William nilisema ndo mbadala wa Alex anord. Lovren lallana shaqiri wakisepa
Elliot Jones minamino na van berg wataziba. Sioni usajili msimu huu
Wasipotupa kombe leo, watatupa kombe na burudani tarehe 2/7Hahaha babu weee...
Ki ukweli ndogo Raheem leo atafia uwanjani aisee utashangaa atakavyowasumbua Chelsea...
Hawa kutupa guard of honour hawawezi kwepa kabisaa... Wakichomoka leo tunao kwao 2/7/20...
It's cant get better than this...
Champions in waiting πππππ»π»π»π»π»
YNWA
Kweli kabisa dahHAKUNA KITU KINANIUMA KAMA KUSHEREKEA UBINGWA WETU BILA MIKUSANYIKO YA MASHABIKI HUKO UINGEREZA CORONA NI US.....NGE.
SG kachizika alikiwa anataka kulipora,hahahaha
Naona Chelsick wameamua kutumalizia kazi leo. Vijana wanabeba ndoo wakiwa hotelini wanagonga wine na michepuko yao... dahHawa city July 2 wakimkuta Fabby yuko kwenye kiwango cha jana watajuta
Liverpool bingwa EPL 2019/2020
Wale walio kuwa na team ktk shida na raha nawapongeza sana sana sana!
Hongere i mabingwa
Hahahaha sherehe hizooooo tunahesabu dakika....Wasipotupa kombe leo, watatupa kombe na burudani tarehe 2/7
Hili kwao naona litakuwa tusi kwao. Leo watawabomolea makalio Chelsick watoboe tobo
Remember Leicester City 2015? We will do the Leicester City's way next season.I feel pity for you guys. Your team is nowhere to be seen in several seasons to come. So helpless.