Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Huyu dogo kama vile alikuwa mzuri na kipaji kikubwa sana, kwanini kapuuzwa hivi?Nantes have agreed a deal to sign Pedro Chirivella, who leaves Liverpool on a free transfer after rejecting a new deal. [FootSur7]
Coz hujawah kufatilia la liga, yuko vzr Dogo, labda Chelsea wamuharibuWerner?
Count me in sijui kwanini hajawahi nivutia
Nilipata shock kuona akiuzwa dahh. Sijajua zaid ila aligoma kuongeza mkataba beyond mkataba ndio tutajua kwa nini. Ila ni mzur sana mid ya maana.Huyu dogo kama vile alikuwa mzuri na kipaji kikubwa sana, kwanini kapuuzwa hivi?
Coz hujawah kufatilia la liga, yuko vzr Dogo, labda Chelsea wamuharibu
SureNilipata shock kuona akiuzwa dahh. Sijajua zaid ila aligoma kuongeza mkataba beyond mkataba ndio tutajua kwa nini. Ila ni mzur sana mid ya maana.
Yule ni fundi balaaaaBinafsi lallana replacement yake iwe ni Curtis Jones haina haja ya newcomer. Dogo anavitu mguuni kwa mechi nilizomfuatilia.
Nantes have agreed a deal to sign Pedro Chirivella, who leaves Liverpool on a free transfer after rejecting a new deal. [FootSur7]
Anahitaji timu ya kumpa nafasi acheze team A, kwa sasa Liverpool anaona atachelewa mno....Huyu dogo kama vile alikuwa mzuri na kipaji kikubwa sana, kwanini kapuuzwa hivi?
The boy deserves this kind of chums...
Coz hujawah kufatilia la liga, yuko vzr Dogo, labda Chelsea wamuharibu
TupooMabingwa mupoooo?
Nunueni kabisa jezi za ubingwaTupoo
Mapema sana Janjaweed watu tusha nunuaNunueni kabisa jezi za ubingwa