Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mkuu hili janga limetingisha mpaka tunakosa burudani Kwa muda wote huu...Mimi nataka game 2 tu tumalizane na ubingwa, maana hii Corona imetisha sana.
Kwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizoMkuu hili janga limetingisha mpaka tunakosa burudani Kwa muda wote huu...
Mpaka sasa ingekua mwali ametulia Anfield..
Angalau EPL wameamua kuchukua risk ligi iishe bila mashabiki na kuchukua tahadhari zote Kwa wahusika watakao kuwa uwanjani..
Sasa Juni ligi inarejea tukamilishe tulichokusudia...
Kuna gemu za burudani vs Citizens, vs Everton, vs Les Blues, vs Gunners..... Bring them...
YNWA
Ndugu yangu tumemuacha Manchester City pointi 25 na tumebakisha mechi 9 kumaliza Ligi..Kwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizo
Chelsea anaweza kuwabonda tena
Man city hatawaacha kudadeki
Asenal ishajifia lakini inakuja na vibe la corona
Everton anawachukia atafia uwanjani
Sasa hapo mnaenda kuchukua ubingwa wapi???
Nyie majogoo kazi mnayoo
Namwamini zaidi Ederson Santana kuliko Becker ikija suala la kurudishiwa mpira nyuma aisee kuna kipindi Allison hua na papara sana..." Allison Becker, akiwa goli anajua kumiliki mpira sana kama Andrea Pirlo, hata timu ikiwa ina presha anajiamini sana anahitaji apewe mpira huwa nafurahi sana tukiwa mazoezini pia amefiti sana kwenye mfumo wa Jurgeon Klopp
.
.
" Timu nyingi zinapenda kukabia juu kwa spidi ila yeye anajua kumiliki mpira hata washambuliaji wakiwa wanakuja miguu yake ni mepesi sana
.
.
" Kwa mfumo wetu huwa tuna shambulia kwa spidi mara nyingi huwa tunategemea Allison kwenye eneo la goli kipa tukiwa mazoezini huwa napenda kumuita Andrea Pirlo,"Kocha Msaidizi wa klabu ya Liverpool, Jack Robinson.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi 2 sijazo ni Everton na. Villa then City. Tuna chukua huo ubingwa kabla hata ya huyo City. Chelsea mechi yake it akuwa mwisho huko Watakachoweza ni kutupigia makofi tuKwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizo
Chelsea anaweza kuwabonda tena
Man city hatawaacha kudadeki
Asenal ishajifia lakini inakuja na vibe la corona
Everton anawachukia atafia uwanjani
Sasa hapo mnaenda kuchukua ubingwa wapi???
Nyie majogoo kazi mnayoo
Kwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizo
Chelsea anaweza kuwabonda tena
Man city hatawaacha kudadeki
Asenal ishajifia lakini inakuja na vibe la corona
Everton anawachukia atafia uwanjani
Sasa hapo mnaenda kuchukua ubingwa wapi???
Nyie majogoo kazi mnayoo
Watford 3-0liverpoolChelsea kutufunga kwenye lig sio rahs kama unavyofikiria...
Na uko kurud na moto kwa timu nyingine kwanini sisi haturudi... moto wetu wa kupata point 6 utafananisha na moto wa timu yako.
Et Everton na arsenal... acha kuendeshwa na mapenzi wewe, chuki inakufanya upinge ukweli.
Nilihs utaeleza kwa facts kwanini..watakuja na moto
...
Dokta pole Sana katika hicho kipindi kigumu..katika Red amepitia kipindi kigumu ni mimi
I love this team
I love liverpool
I love this team so much
Mkulima wa mahindi
Walete walete babakeeeWelcome to Melwood
View attachment 1455006
Here we go guys....
Some of the boys and the gaffer wameanza mazoezi rasmi Leo kuelekea kuanza upya Kwa EPL mapema mwezi ujao...
YNWA
Sasa ulitaka tusifungwe... unajua maana ya mashindano?Watford 3-0liverpool
Punguza jaziba
Hata astonvilla anaweza kuwapiga kipigo cha mbwa koko
Liverpool mmebakisha nini sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ni muda tu mambo yakikaa sawa inaanza EPL....Walete walete babakeee