OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Kuliko tuwape Willian bora tuwape arsenal bure na ela juuIn the mean time behind the scenes....
Timo Werner loading [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji7][emoji7]we pay £52m by June 1 his release clause and get our boy...he is already learning English..
Wilian from Chelsea loading [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]joining on a free transfer..... At 31 yrs still has some great left to offer....
Yajayo yanafurahisha
YNWA
Mkuu anakua freelancer mkataba wake ukiisha hivyo hapo huna chako utulie...
Ongea ukiwa na sababu mkononiMan utd ni baba lenu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu bado uko Man City au umetafuta chaka lingin?
Maana sikuoni kwenye uzi wa Man City pia.
Is that what you think Liverpool is successful poor club. Hata mm ningeandaa hiyo taarifa ningesema man utd is successful club in English football life. Kibaya chajitembeza nitaishia kusema hivyoOngea ukiwa na sababu mkononiView attachment 1434144
Is that what you think Liverpool is successful poor club. Hata mm ningeandaa hiyo taarifa ningesema man utd is successful club in English football life. Kibaya chajitembeza nitaishia kusema hivyo
Duh full Adidas...
My team is liverpoolvipi machampioni wenzangu.... mbona ni kama hatuko active sana humu jukwaani?
jamani vipi COVID-19..... tuko salama so far?
stay home my beloved Kops, and live.
remember, there's still that grand Merseyside parade in the offing for the EPL trophy flaunt..... tunaomba Mungu parade itukute tukiwa hai. Amen.