LoserFOOLSTarehe 2 mwezi wa 4 the FA watakutana kufuta matokeo yote ya msimu huu wa ligi. Liverpool itabidi msubiri mwaka mwingine wa 31 kujaribu tena.
Wakifanya hivi najua jiji la Liverpool litabadilishwa jina kuwa Bloodpool.
Huyo jamaa anaongea kishabiki tu, binafsi ukiacha Real Madrid na Barca, sioni wa kuchukua mchezaji kutoka Liverpool.
FA CUP kwa Manchester city ni Major trophies lakini kwa Liverpool ni kombe la mbuzi.
18Kwanini alitimuliwa mkuu?????
Na EPL mmeshiriki Mara ngapi na mmechukua Mara ngapi mkuu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubongo wa nzi
Heshima yako kwanza mkongwe!!!Mkuu bado uko Man City au umetafuta chaka lingin?
Maana sikuoni kwenye uzi wa Man City pia.
Heshima yako kwanza mkongwe!!!
Mimi bado naishabikia Man City Mzee wa kazi, kwenye uzi wa Man City haunioni kwasababu sina jambo la kuandika.
Corona ni "janga" kiongozi.Mimi sijambo, ingawa corona haieleweki.
Okay, nikajua umepata kijiwe kingine mkuu.
HayaLiverpool nearly won the league in 2014: Gerrard slips
Liverpool nearly won the league in 2019: Kompany's wonder goal
Liverpool nearly won the league in 2020: Coronavirus has enter the chat
It's almost as if God/Mother Nature him/herself does not want Liverpool to win the league.