Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi sio Liverpool ila hio namba NNE iko fair

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naombea timu nyingi zikatae!
 
Mtakoma mwaka huu hadi mmegeuka madaktari[emoji2] [emoji2]
 
Acha ubinafsi wewe kwa hyo wengi wafe au waathirike kwa sababu ya Liverpool? Kinachoangaliwa hapa ni kuokoa maisha ya wengi,acha ligi ifutwe ili tuanze upya,by the way ninyi ni vijogoo hivyo ligi ikifutwa season hii mnaweza kubeba next season au hamjiamini!?[emoji2] , Mara hii mmeshasahau "You will never walk alone!?
 
Narudia tena kwa mara ya mwisho,hatupeleki timu uwanjani! hatuko tayari kupoteza roho za watu kwasababu tu eti mnakiu ya kuchukua kombe baada ya miaka30,nyie subiri ugonjwa upite kombe mtapewa hata Kama ni mwakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi ya kwanza ndio maamuzi bora kabisa.

Nipo pamoja na uyo mama wa West Ham ..

Mikakati inaendelea..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wa kwanza ukifikiwa si arsenal tunaenda uefa!!!! Upo poa sana huu
 
Ha ha ha, mimi nimejitoa kwenye huu mjadala kwa sababu najue iwe mvua liwe jua, Liverpool anapewa ubingwa.
Ubingwa hampewi..kirus kimengangania pale england kila siku takwimu zinapanda! Euro hii hapa, mwezi wa 8 kesho kutwa tuu! La msingi, vice chairman wa westham asapotiwe kwa hoja yake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…