Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Braza MosDef tukiweka usgabiki pembeni, napenda sana kujua kuongea na kuandika vizuri hii lugha pendwa ya kimataifa ..ili nijue kuongea na kuandika kingereza kama wewe nifanyeje..
Nipe mbinu nipe mbinu ulizotumia mkuu kuweza kufikia uwezo hu wa kuandika na kuongea vizuri bro ..
Yani ulifanyaje na ulichukua muda gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulitaka kuaminishwa kwamba Adama ni bora na ni mchezaji sahihi kwa Liverpool kuliko huyu
Leo naimani tutashinda goli za kutosha..Ushindi wa leo ni muhimu kuliko kitu chochote kile kwenye soccer.
Leo tushinde ili turudishe morali kwa wachezaji.
#YNWA
Rathi Thimba anakuhusuBraza MosDef tukiweka usgabiki pembeni, napenda sana kujua kuongea na kuandika vizuri hii lugha pendwa ya kimataifa ..ili nijue kuongea na kuandika kingereza kama wewe nifanyeje..
Nipe mbinu nipe mbinu ulizotumia mkuu kuweza kufikia uwezo hu wa kuandika na kuongea vizuri bro ..
Yani ulifanyaje na ulichukua muda gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo utakuwa wendawazimu wa kiwango cha lami! Kwa hapo tulipofikia hata ingecheza ile timu ya kina Brewister ingenyanyua kwapa come what may!Liverpool anapoteza game zote zilizobaki na city anakuwa bingwa hamtoamini .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa Bournemouth tujuane mapema
Tuendelee kupiga tu ramli maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Goli la 16Salaaaaaaah