Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
EPL tayari ipo nyumbani
FA kombe la mbuziDah kuna watu hawajielewi kweli yani una uhakika wa ligi alafu hujali kukosa FA
Hapa mnabakwa na wanaowazidi nguvu na mnapobakiwa ni eneo remote sana hamna majirani wala wapita njia so njia pekee ya kuwafanya msiumie ni kuiandaa akili kuenjoy tukio.. Panueni miguu, ongeza miguno na vingine romantic mwamba amwage asepe zake.. Hamna jinsiUjuaji ni pale wewe unapoibuka hapa kwa Matukio yanayokupendeza tu.
Sasa subiri ubakie hapa mpaka mwisho wa Msimu.
LFC is the first English club to lift an international treble. remember?
Niongeze kitu hapa,Si kwamba Salah na Mane ni bora sana,ni bora na mfumo wa Liverpool unawafanya wawe bora sana lakini hata mahrez angekuwa Liverpool angekuwa bora kuliko Mane na salah kwa talent iliyoko ndani yake ,kuna wachezaji wengi wa kawaida ukiwaweka Liverpool wanaripuka mbaya kabisa kwangu Mimi Sancho,Gnabry,Sane,Werner hawa viumbe wanacheza popote wanakupa ubora uleule
Mabingwa uchwara. Kauli yangu mnaiamini sasa. Naona wahuni wanajipigia tu.
Hahahahaha na bado mtapigwa tu. Timu la hovyo washabiki wa hovyo Leo mnaona 433 chungu hahahahaha.
# worst champions to be in history of football
#mabingwa uchwara.
#lGGMU BABA LENU.
Ipi hiyo kakandani ya miezi 6 ya mwisho wa mwaka jana, tulibeba a "unique international treble" ambayo Fergie wako bado anakutana nayo ndotoni tu.
Not consecutive mkuu
Wow... Kinda Gilmour scored twice?Timu za uingereza bhana. Ukitobolewaunatobolewa kweli kweli. Yale majigambo sasa yatapungua.
Atlentico kapiga 1 Watford kapiga 3, kinda wa miaka 17 B. Gilmour kakupiga 2
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe Gnabry si unamwangalia tu uefa
Hapana hilo haliwezi tokea
wanaofuatilia mpira wanajua chief.Ipi hiyo kaka
With take on Klopp as mastermind I was expected him to notice this gap and soldering that diamond style is the breaker of his styleBeen saying this tangu last season..
Only Klopp still deploys 433..
Which, is so easy to nullfy kama opponent atakuja na a very structured 442..
The thing is. klopp anatumia 433, with two number 8s kwenye MF (Hendo+Gini), bila a single transitional MF, who can run between the lines, and play line-breaking passes kwenye kila channels..
And, its funny because last season he bought 3 oriented 4231 MFs & attacker (Faby+Keita & Shaqiri), na january hii kanunua a typical 4321 player (Minamino), and if the rumours about us signing Werner are true then its even more weird because he's a 4231 attacking winger (operate heavly in wide & running spaces)..sasa sijui ni kwanini bado yupo na 433, though Faby alivyoumia he switched to 3-4-3 ili kuipa balance MF, ambapo ilitusaidia kiasi, he went back to 433 against ATM, and since then imekuwa hivyo, na ingekuwa just fine kama Faby angekuwa vizuri but sidhani hata kama naye anajielewa now, he's been comical, so 433 haitusaidii now, coz Faby at the base is not working..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nafuatilia siijui ndo nakuuliza wewe unieleweshe.wanaofuatilia mpira wanajua chief.
I do... But will be more interesting if domestic side you're prolific... Take into acc Barca...LFC is the first English club to lift an international treble. remember?
Klopp uses mostly dynamic RB and LB to hurt the opposition and that has worked so well for him in the past but now it's going south man...yes, the gaffer needs to apply some tweaks surely!