Na bado ..mkakati ni kuhakikisha hii Liverpool awabebi EPL kabisa ..kama akina Gerald na Kuty Liverpool bora kabisa ilishindwa kubeba EPL ..hii Liverpool yenye watoto walaini walaini kama akina mane na salah wake wabebe kirahisi tu?
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
I said itTukipona leo maajabu
I said it
Nipo mkuu.
Nimekubali, yaani tunakufa kwa Watford!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo kapenda kwioLiverpool aka Irene Uwoya.. Anawabania watu wazima anakuja kuchakatwa na Dogo Janja
Nipe hongeraPole mkuu..Betting yako leo haikuchana Mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungu la kukosa hilo mkuuYani unatongozwa na watu wenyepesa zao unawakatalia unamkubalia mtu pakukaa hana
Sent using Jamii Forums mobile app