21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,303
- 2,853
Haaahaa, mgonjwa yupo ICU anajipa matumainiNahisi mimi naangalia mpira tofauti na wenu maana game kuanzia dakika ya 35 imeanza kuwa kali na ya spidi.
Nina uhakika hawa wameshafungwa, 45 tayari.
Haaaa
Looserfool wanatolewa bikra leo, ni nderemo na vifijo
Huyo lingard anacheza timu gani mbona simjuiMbona Hendo yupo vizuri kuliko Lingard
Lingard wa kumuweka benchi Hendo katika sayari gani?
Kuchukua UEFA mwaka jana na kucheza final mbili mfululizo ni ushahidi tosha Liverpool hatubahatishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae Jogooo lachinjwa kabla ya Pasaka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo unafuraha sana.Jogoo wametengenezea supu ya kufturu kwa resma hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe umo kumbeJogoo wametengenezea supu ya kufturu kwa resma hii πππ
Huwezi kumjua sasa hivi, ngoja kwanza wenge la 3-0 liishe huko kichwani kwanza!! ndio utamjua!!Huyo lingard anacheza timu gani mbona simjui