Point ya msing umetambua kama sisi ni mabingwaMabingwa uchwaraa. Narudia tena hakuna timu ya hovyo kama liverfools timu uchwara ndo hii kuwahi kutokea pale England.
Mmebahatisha na litimu menu bovu. Hakuna bingwa mbovu atakayewahi kutokea uingereza kama liverfools.
Timu ya hovyo na uchwara ndo hii.
Jiandaeni ndani ya game tatu hizi kwanza ya Leo lazima mtapigwa tu. Ile rekodi ya invisibles ya Arsenal hamuwezi kuvunja kutokana na kua na kikosi uchwara so muache kuota ndoto zenu tata za unbeaten 50 will never happen.
#tubingwa tuchwara. # Henderson for balon dor hahaha kweli mmeishiwa Sera hadi hutu tu hendo mnasema for balon for and PFA.
#GGMU
Sisi Mashabiki wa Liverpool katika sisi ni wachache sana wanaomrate huyo HendersonMabingwa uchwaraa. Narudia tena hakuna timu ya hovyo kama liverfools timu uchwara ndo hii kuwahi kutokea pale England.
Mmebahatisha na litimu menu bovu. Hakuna bingwa mbovu atakayewahi kutokea uingereza kama liverfools.
Timu ya hovyo na uchwara ndo hii.
Jiandaeni ndani ya game tatu hizi kwanza ya Leo lazima mtapigwa tu. Ile rekodi ya invisibles ya Arsenal hamuwezi kuvunja kutokana na kua na kikosi uchwara so muache kuota ndoto zenu tata za unbeaten 50 will never happen.
#tubingwa tuchwara. # Henderson for balon dor hahaha kweli mmeishiwa Sera hadi hutu tu hendo mnasema for balon for and PFA.
#GGMU
Tuko very slow tangu tumetoka kwenye Winter break,No passion, No spirit,No movement up front napata mashaka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa bado tu uko kwenye kipindi cha joto!
Sisi Mashabiki wa Liverpool katika sisi ni wachache sana wanaomrate huyo Henderson
Mimi na wengi humu huwa hatumkubali kabisa huyo Jamaa
Manchester United yenu kocha aliewafufua na kuwafikisha hapo mlipo amekuwa kocha hapo kwenu kwa miaka ishirini na sita katika hiyo miaka 26 kachukua UEFA mara mbili tu sasa sijui unapata wapi guts za kusema tuna timu mbovu muda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapita huku mwaka umeisha!Nahisi mimi naangalia mpira tofauti na wenu maana game kuanzia dakika ya 35 imeanza kuwa kali na ya spidi.
Nina uhakika hawa wameshafungwa, 45 tayari.
Habari za masiku?Leo ndio nimeamini sasa JORDAN HENDERSON ndio kila kitu kwenye Midfield ya Liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app