Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wale wale walikuja hapa kucheka baada ya Liverpool kufungwa 3 kwa 0 na Barcelona ndiyo walewale wanaokuja leo kufurahia Liverpool kufungwa 1 - 0 na Atletico.

Nakumbusha tu kuwa Liverpool hafungwi Anfield.

Hata hivyo Liverpool anaweza kutolewa Anfield.

Katika Soccer hakuna kitu undefeatable
 
Most interesting ni kwamba kwenye huu Uzi sometime bora niwe Msomaji Comments kulilo kupost hapo nitakuwa kwa asilimia 100% nimeheshimu mawazo ya wengine.
Coz kumeibuka posts za kiajabuajabu mpaka unajiuliza tunajadili mpira au rede?

Mfano wa post hizo:

1) Tusisajili wachezaji aina ya Sancho, Werner and co ili front 3 yetu ibaki Salama.
Bali tusajili wachezaji ambao hawatokuja kuleta ushindani wa namba kwa Front 3 kama vile Adama.
2) Hata tukisajili hakuna mchezaji yeyote duniani anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 wetu (Mane, Salah na Bobby), Mmoja amediriki kusema Mbappe hafai kuja Liverpool Coz hawezi kupata namba mbele ya Bobby au Mane.
3) Mwengine anasema Halaand siyo type ya Mchezaji wa kucheza system ya Klopp, but Adama ni real type ya mchezaji wa system ya Klopp! Nabaki nacheka tu.

Ivi ni kweli hatupaswi kusajili talented (Attackers) players coz tuna stable Front 3???
Kweli tuna Modern JF football analysts!!!!

Mwisho: Tusiwe wepesi sana wa Kumtukana Klopp kwa kupoteza game ya Jana, but tunaweza kumkosoa kiuchambuzi zaidi na kuangalia zile open blunders zilizofanyika.
 
We had three mechanics Jana and you will never break teams that are parking the bus with mechanics wasiopiga masjuti ya mbali

Get tricky players to attract fouls and set pieces
Cant say otherwise Kaka...

Hopefully now a proper plan is in place now for the 2nd round...

YNWA
 
We need fresh ideas fresh faces with different dynamics up front that the reality...

I can't say Klopp failed rather than we met a very well drilled opposition jana... In football man this kind of games do happen.. Its not anything new...

Vs Norwich we lacked clear cut passes and jana pia it's wasn't coming and we ain't used to this kind of scenarios but it's was a proper wake up call..

How we bounce back to winning ways is the real deal otherwise jana is done deal can't do anything more than aim for a sweet revenge come Anfield..

YNWA
 
Hata kwa napoli hatukupiga on target na tulikufa mbil so hakuna cha ajabu alichofanya cholo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafanye application uchukue timu ww. Maana inaonekana ni mtaalamu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atl sio barca... usisahau hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…