Mimi sio Liverpool ila kwa mpira wanaocheza Atletico halafu ukaangalia Dortmund na PSG ni vitu viwili tofauti goli 1 muda wote hata mashambulizi ya hatari hakuna na Anfield Liverpool kupata goli atapata hvyo hii mechi alitakiwa angalau apate goli 2 au 3
In Diamond voice kimewanasa kidude hakichomoki kidude.Vipi majirani huku North .Mmerudisha ama ?
Sasa TOFAUTI ya nini wameshapata matokeo unawalazimisha wakuburudishe?Mimi sio Liverpool ila kwa mpira wanaocheza Atletico halafu ukaangalia Dortmund na PSG ni vitu viwili tofauti goli 1 muda wote hata mashambulizi ya hatari hakuna na Anfield Liverpool kupata goli atapata hvyo hii mechi alitakiwa angalau apate goli 2 au 3
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamna namna tukutane tareh 11 march pale AnfieldTumechomekwa. Hamna namna tena
Ngoja nigonge K Vant
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio yy huyoMkuu matusi yote haya yanini...wewe utakuwa mshabiki wa kubet..hapa unahasira wa mkeka kuchanika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane Anfield ndugu...
Hahahahahahahahah Tutaimaliza mechi First half Brother Tunza hii Comment.Over.
Tukutane last half Anfield