Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hio game waliyotufunga nakumbuka benitez na timu yake walienda spain kwa treni.........[emoji23][emoji23][emoji23]

marudiano 2-1 ilikua at extra time kama kumbukumbu zangu zipo vizuri....... niliumia sn that day
 
Nimetumiwa link inbox, nashindwa kui kopy, ngoja nifanye mautundu nii copy

Sent using Jamii Forums mobile app
Au nikupm namba yangu unitumie 😀 😀 😀 😀



Tutumie kaka,tuone namna gani tunaweza iboresha na kushiriki ktk hafla hiyo adhiimu, koz kwenda kwenye parade Merseyside ni gumu kwa tulio wengi
 
Uliyoyaona msimu huu huenda hayatajirudia katika maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kikosi chako Klopp ka-copy paste.
 
Lineup
 

Attachments

  • Screenshot_20200218-224513~2.png
    29.9 KB · Views: 15
Kikosi chako Klopp ka-copy paste.
Honestly that our 1st team squad Mkuu.. And boys rarely fail...

Rojiblancost boys wonna copy and paste our very own Anfield atmosphere haha... Leo kazi ipo Simeon drama zake kwenye touch line ni shindaaaaa... Huku akiwanyanyua mashabiki...

If we sustain the heat for the first 30 minutes without conceding then its our game to win..

Well I won't mind a draw and finish the job at Anfield...

Come on Reds hammer the stripped Reds..

YNWA
 
Correra one to watch ni msumbufu sana...

Gomez the bearded full time guard what can I say about the boy.. Man he has made big strides big time...

Mane to soccer..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…