Sio mbaya ila lazima tuangalie na mfuko. Timu bora si uwanjani tu na financial ni lazima tuwe vizuri. Hatuwezi kuwa km Man U kugawa hela kizembembe. Bora tuzitengeneze ili tuwe washindani wa kweli baadae.Ila sisi nao tumezidi ubahili, tuwape mishahara jamaa ili wainjoi maisha huku wanapiga kazi
Bwana wee ni kweli kabisa tulipofikia inabidi iwe win win situation kwa wote...Ila sisi nao tumezidi ubahili, tuwape mishahara jamaa ili wainjoi maisha huku wanapiga kazi
Wanasema kuna ajali ndio maana imesogezwa mbele kidogo itaanza muda wowote kuanzia sasa...Iko delayed, nadhani itaanza muda mfupi
Wanasema kuna ajali ndio maana imesogezwa mbele kidogo itaanza muda wowote kuanzia sasa...
YNWA
wakikujibu nitonye maana nime check zote nilizo nazo hola!!
Channel gani? Nimesubiri star times wanaonesha new castel.Iko delayed, nadhani itaanza muda mfupi
Channel gani? Nimesubiri star times wanaonesha new castel.