Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mkuu suarez yule katika kushabikia kwangu liverpool (almost 16yrs) sijaona mfanano wake..... sio stev wala sio torres!


kale kajamaa fighting spirit yake ilikua sio ya kawaida, naikumbuka hat trick ya dirk kalichambua beki za man u kama karanga.....


kwa sisi vijana tusio na umri mrefu, epl striker kama suarez sidhan kama tumewahi kumshuhudia..... may b cristiano, henry, lakn all round suarez binafsi alinikosha sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same to me mkuu, nimeijua Liverpool kwasababu yake, and ofcoz nimekuwa fan wa hili chama kwasababu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zumbemkuu na Blac kid nimesoma sana aisee...

Huyo jamaa baada ya kutoka kombe la dunia alikua fire mnooo... Nadhani hakutegemea kama angetua Liverpool uzito wa jerzi nao ulichangia kua flop..

All in all respect to you both..

YNWA
 
The title is still for ManCity to lose
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘ŒπŸ‘Œβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈ
 
We will get the Guard of Honor at Etihad if we win our next 6 games and City continues to drop points.

Sent using Jamii Forums mobile app
22 points lol even under the great Fergie such difference was a dream...

Even us under Paisley we never had this hype with winning points and records every other day...

Now my target is Guard of Honor at Ethad can't wait to see Sterling face, Walker and Pep lol...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…