Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Imahitaj zaid ya timu bora kuifunga Liverpool hii ya mentality monsters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila kushahau Anceloti ni mwanaume wa klop anajipigiaga tu uchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal wakija hawatakuja kwa ajili ya 40 pkts gape. Wao watakuja kuhakikisha hatufikii record yao ya unbeaten...hilo ndo litawapa motisha.
Everton nadhani 2 years now hatujashinda goodson...na draw yake mwaka jana ilitunyima ubingwa. Na wako radhi waende kwa mganga ili watufunge
City nae atataka kuonyesha kuwa kama ubingwa ameukosa basi lazima atufunge kuonyesha nae yupo yupo.
So mechi zote zitakuwa ngumu sababu wote wana sababu ya kutaka kutufunga.
Timu zilizobaki zote now hazina sababu na liver plus zinatuogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa mwezi

Kipa wa mwezi

Mchezaji wa mwezi

Wote Liverpool
 
Lakini mkuu wape tahadhari wakaze taratibu hizo nut zitavunjika hizo shauri yao! Hii timu sasa hivi haina cha huyu ana kocha bora sasa hivi! We are conquerors of the world!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…