Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Maisha bila unafki kamwe hayaendi Chifu [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeanza UK derby
ni mechi ngumu haijalishi nani ana kikosi kizuri
Tuwashangilie vijana,wanapigana
 
Tundelee kuwa na team yetu,mambo mazuri yanakuja
Mungu awe nasi tuombee tu viana wasiwe na majeruhi
 
Eti Maguire anamkaba VVD kwenye Kona [emoji23] [emoji23]

Maguire atafute wa kusimamanao VVD ni Level nyengine kabisa
 
Tumeisha chukua dimba
Sasa tunahitaji moja zaidi mechi iishe
2=0 hawawezi rudi
 
Tuongelee mechi ijayo
Hii Firimon kaisha imaliza dakika ya 25
Asanteni sana kwa kuja hapa
bye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…