OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
EPL ya 19 em acha utani bwana, nikumbusheni kama muna EPL ata moja..Hahahaha Mkuu Kwa sasa kuingia humu kunahitaji ukomavu wa Ollachuga Oc maana yeye mpaka sasa haamini barabara jiji la Anfield zinawekwa sawa kupokea mashabiki na watalii wa michezo lukuki kushuhudia Klopp na vijana wake wakiwa Lori za wazi kutembeza mtaa Kwa mtaa kombe letu la 19 EPL...
Sisi tutawakeketa kabisa.Ngoja aje anfield na lile genge lake la London tumuaminishe
Mimi ningekuwa fan wa Liverpool kwakwel ningejuta sana..Congrats ulichagua vyema sana kushabikia hii Timu sasa unaishi kwa raha kama zote huku unatembea kifua mbele...
Hongera pia kubakia Liverpool wapo wengi wametukimbia baada ya kuona kila mwaka tunasogea kulidaka kombe mwishowe linaponyoka na tulikua msimu unaofuata hata Big four hatuipati huku wachezaji wetu wakidai kuondoka ama kuuzwa...sasa tangu aje Klopp mambo yamebadilika sana mission yake kuu ni EPL taji la 19 lakini humo humo tumeambulia makombe matatu makubwa mno huku baba lao EPL ikija nyumbani Mei 2020...
Once a Red at Heart always a Red...
YNWA
Haya... Nyie Muna, Muna, munaEPL ya 19 em acha utani bwana, nikumbusheni kama muna EPL ata moja..
Nyie muna yale makombe yanaitwa league division one cjui two uko ..kipind io kipa akidaka mpira unamunyang'anya afu unafunga..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha Andy Carol.
Umekasirika?Acha kuandika pumba wewe alafu asubuhi unasalimiwa shikamoo baba unaitika..pumbavu
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
EPL ya 19 em acha utani bwana, nikumbusheni kama muna EPL ata moja..
Nyie muna yale makombe yanaitwa league division one cjui two uko ..kipind io kipa akidaka mpira unamunyang'anya afu unafunga..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha una moyo mwepesi mno hii Liverpool usingeiweza kabisa...Mimi ningekuwa fan wa Liverpool kwakwel ningejuta sana..
Proudly Chelsea die fan..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha una moyo mwepesi mno hii Liverpool usingeiweza kabisa...
Utulie ulipo tuwaonyeshe kazi...
Twawasubiri Anfield tutangaze ubingwa rasmi...
YNWA
Hahahaha sipati picha wakitupa guard of honour pale Anfield lol kwa kweli wana haki ya kulalamika maana hii itawapata vizuri sanaaa...Chelsea tunakutana nao May 9, last but one game. Tutakuwa tumeshatangaza matokeo mwezi mmoja kabla.
Umuhimu wa hiyo game itakuwa for record purposes: 100+ points na unbeaten.
Man this boy will always be a legend..View attachment 1321088
14 years ago today. It’s been a journey of dreams.
most of the times wachezaji ambao huwa tunasajili January huwa hawa disappoint. Mme observe hilo?
Hahahahaha mkuu huyo tulipigwa angalau kuwauza Surez na Coutinho tuli recover kiasi cha hio hasara...Ukiacha Andy Carol.
Keep dreaming aiseee mdogo mdogo mtatuelewa sana tu...
Hahahahaha mkuu huyo tulipigwa angalau kuwauza Surez na Coutinho tuli recover kiasi cha hio hasara...
Andy alitakiwa akacheze Basketball
Guard of honour tunapewa na cityHahahaha sipati picha wakitupa guard of honour pale Anfield lol kwa kweli wana haki ya kulalamika maana hii itawapata vizuri sanaaa...
YNWA
Haha yes Kaka £35m yaaani hivi alisajiliwa na Daglish sijui hata kama walim profile vizuri kua compatible na mfumo wetu enzi hizo...Hivi unakumbuka kwamba manunuzi yake yalivunja record kwa timu.
Namchokoza Ollachuga Oc....Guard of honour tunapewa na city